Ifike mahali mtu asihukumiwe tu kwa sababu ya msimamo tofauti. Ni vema tukajadili mawazo kuliko cheo.Ambacho kingetusaidia sisi kama wananchi ni HOJA au MISIMAMO ya kila kiongozi husika kuhusu MIKOPO tungejadili zaidi faida na hasara za kila hoja kwetu sisi binafsi wananchi.
Lakini mambo ya kuhofia usipika wa ndugai kupotea ndiyo kuwa hoja yetu ni ujinga kama ujinga mwingine
Bungeni kuna"vyama gani" kwa sasa?Spika wa bunge la JMT huchaguliwa na wabunge wa vyama vyote bungeni!
CCM, Chadema. Cuf na ACT wazalendo!Bungeni kuna"vyama gani" kwa sasa?
Naunga mkono hojaWana CCM wengi hudhani wao ni above the law.Nasubiri waanze kuwekeana sumu ili jamaa wa kuuza majeneza waingize pato.Hamna namna.
Kaa kimya hujaelewa kitu hapo.Nchi ina wananchi ambao hawatakiwi kuzungumza lolote ambalo ni kinyume na mtawala wa nchi.
Ni jambo la ajabu na sio haki kabisa.
Kwanini watu hawatakiwi kusema lolote wanatakiwa wakae kimya tu??
Katika maspika wote waliowahi kuhudumu ndani ya nchi ndugai ni spika mbovu kuwahi kutokea tangu kupata uhuru!Mh Spika Ndugai ameonekana kuwa na kauli ambazo kimsingi zina kinzana na serikali amabyo yeye ni mmoja wa hiyo serikali.
Labda nimkumbushe kuwa yeye ni mwana chama wa CCM na ni serikali hiyo hiyo inayo tawala.
Kutoka mbele nakukosoa serikali amabayo ndio chanzo cha yeye kuwa spika nikujitoa ufahamu.
Hakuna mahali spika ametoka akaikosoa serikali nje ya utaratibu hapa mkuu amechemka Ukisoma zile kanuni kule bungeni utaona kabisa wamepewa protection kusema jambo lolote dhidi ya serikali ila sio nje ya bunge.
Hivyo basi Kauli ya Spika kwa serikali nje ya bunge ni kitendo uwenda kitaugharimu U spika wake muda wowote 2022. Stay tuned
Magufuli alisema wapinzani wanachelewesha maendeleo.CCM, Chadema. Cuf na ACT wazalendo!
Tunasubiri tenda za misalaba pialaw.Nasubiri waanze kuwekeana sumu ili jamaa wa kuuza majeneza waingize pato.