mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
mkuu aliyeandaa hio makala sio fredick bundala bali mhadhiri wa chuo kikuu SAUT wyjones jamaa pia ni mwanamzik mzusi tu
Yeer aliyeandika hii sio Fred bali ni Kinye sema imewekwa bongo5 nadhani ndio aliyeleta kachanganya.
Back to the topic, wasomi wetu wa kitanzania kama huyu mwandika makala ambaye ni lecturer wa SAUT sijui kwa nini wanashindwa kabisa kuhusisha elimu yao na jamii yetu. Wanaishi kwa theory sana.
Huyu jamaa ni mwandishi wa nyimbo na alishawai kumwandikia Benpol wimbo ambao ulipigwa kwenye media sidhani kama ulifika week moja. Yani ndio wimbo mbovu na uliobuma vibaya tokea Benpol aanze muziki. Lakini ana guts za kukosoa na nyimbo ambazo zipo kwenye top 5 ya mzunguko wa nyimbo zilipopigwa zaid East Africa.
Sijajua huyu ni mkufunzi wa nini inatakiwa arudi mtaani apate elimu halisi ya muziki. Naamini Diamond na shule yake ndogo ana elimu kubwa ya muziki kuliko huyu lecturer ndio maana nna uhakika Diamond mpaka anawekeza pesa zote hizo anajua sana anachokifanya na anajua soko la biashara yake ni lipi.
Though nakubali kuna mapungufu fulani kwenye branding ya wasanii wake ila mie naona ameanza vizuri.