Maoni: Hofu yangu kuhusu label ya Wasafi, Diamond, Harmonize na Raymond ni kama ‘mtu mmoja’

Nafurahia vijana wanavyomuaddress dimondi hata ka issue hazijakaa sawa.
Angekuwa Kiba keshatukanwa
Get Money Earn#Respect
Nani ashughulike na Kiba wakati huu? Wenye akili timamu wanatafuta pesa, Kiba yupo na vioo ananata" Hakeem 5"
 
Ila raymond yuko tafauti kidogo kwenye sauti hata uimbaji
 

brilliant
 
Tatizo kubwa vijana wanataka kumfurahisha boss wao waimbe kama yeye,na yeye ana furahia vijana wapo kama yeye,mwisho wa siku tumekuwa na ma diamond watatu.Hawana mpya wote
 
Ila kijana wa kiume kuiga namna ile unajua unaweza kuja kubanduliwa hivihivi jamani, yani jamaa kaiga kila kitu mpaka nahisi hata akilala huwa anamuota diamond au akikaa na Zari itakuwa anajiona na yeye ni diamond tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…