Maoni: Huenda Dkt. John Nchimbi akawa ndie makamu wa Rais bora zaidi Tanzania tangu uhuru

Maoni: Huenda Dkt. John Nchimbi akawa ndie makamu wa Rais bora zaidi Tanzania tangu uhuru

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni mwajibikaji mstahimilivu sana, msikivu asie na papara na mwenye uwezo mkubwa mno wa kujidhibiti kikamilifu hususani kisiasa licha ya kua na ushawishi na uwezo mkubwa zaidi kisiasa.

Daima anahakikisha kwamba hafanyi lolote lile lililo nje ya wajibu wake wa kikatiba kama principal assistant of the president ambae pia anweza kua assigned kuperforms other duties atakazopewe na Rais kama ambvyo sote ni mashuhuda wa kazi nzuri sana anazofanya bababu huyu kitaifa na kimataifa kwa niaba ya rais na taifa letu kwa ujumla.

Kwa maoni yangu, huenda huyu muungwana, akawa ndie makamu wa rais muungwana na bora zaidi tangu uhuru wa Taifa letu na ambae anaweza kua Rais makini zaidi baada ya Dr.Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili kikatiba mapema2030.

Mungu mbariki Dr.Samia Suluhu Hassan, Rais,
Mungu mbariki Dr.Emmanuel nchimbi makamu wa Rais
MUNGU IBARIKI TANZANIA

1767789161575.png
 
Practically he's president in charge!But not in protocol!
Anakubalika na madame anapaswa a delegate utendaji wote kwake ili yeye abaki kuwa ceremonial president!!

Brother is doing so good!!

And our mama has lost that aura and charism to perform as a sitter!
 
ukosahihi kwahili nakubaliana kwa mara ya kwanza ,ila mwambieni tunasubiri matokeo chanya
 
Back
Top Bottom