Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Dkt Bangoza anasema ikiwa serikali na waday hawako tayari kufanya marekebisho ya Katiba ya Mwaka 1977 basi maoni yanayokusanywa na Kamati ya Bunge yatakuwa hayana maana na hivyo ni upotevua wa Muda na rasilimali.
View: https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo
Miswaada hiyo ni
1. Tume huru ya Uchaguzi.
2. Sheria ya Vyama vya siasa
3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.
AmeenMungu Mbariki Mtumishi wako
Askofu wa ukweli.
View: https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo
Miswaada hiyo ni
1. Tume huru ya Uchaguzi.
2. Sheria ya Vyama vya siasa
3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.
Asante kwa maoni haya, ya ELCT Karagwe, ila maoni rasmi ya Kanisa KKKT, yalitolewa Dodoma na Dr. Fredrick Shoo.
View: https://youtu.be/yFvVK6fw03U?si=dn8VnqOvAMFz2yNo
Miswaada hiyo ni
1. Tume huru ya Uchaguzi.
2. Sheria ya Vyama vya siasa
3. Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Mi Siongezi wala kupunguza. Sikiliza mwenyewe.
Pongezi kwa uzi huu wa Askofu Bangoza unalolitakia taifa letu mambo mema na lisitekwe nyara na chama au kiongozi mmoja.Siongezi wala kupunguza
SahihiPongezi kwa uzi huu wa Askofu Bangoza unalolitakia taifa letu mambo mema na lisitekwe nyara na chama au kiongozi mmoja.
Chama tawala hawatakubali........hayo.maoni ni alimradi liende tu.....hakuna watakachochukua hata kimoja.Pongezi kwa uzi huu wa Askofu Bangoza unalolitakia taifa letu mambo mema na lisitekwe nyara na chama au kiongozi mmoja.
Inatakiwa sasa mjadala mpana nje ya Tume ya Kudumu ya Bunge utawala, sheria na katiba upambe moto kila siku hadi elimu hii ya uraia, haki na demokrasia ieleweke ndani ya Bunge la chama kimoja watapokutana tarehe 30 January 2024 bunge lighairi miswada pendekezwa iliyosomwa November 2023, na kutamka miswada hiyo ni mibovu hivyo itupiliwe mbali.
Na serikali iiagizwe na Bunge iandae miswada mingine mipya inayozingatia maoni yaliyosikika mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge na mijadala endelevu ambayo inaendelea kwa kasi katika jamii kwa sasa inayokosoa miswada iliyopo na kuwapa mwanga jambo gani sahihi lifanyike bila kujali vyama.
Asante kwa maoni haya,
Yameshiba......haiwezekani Team inayoshindana inachagua Refa na inaweza kumfukuza refa hata kati kati ya Mechi.Maoni sahihi
Atatoka tu ni suala la mudaSamia amenogewa, hataki kuachia ikulu
Muda ndio Mwalimu na MwamuziAtatoka tu ni suala la muda
SahihiHuyu ndiyo Askofu sasa, tena ndiye angefaa kuiongoza KKKT yetu.