B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Jan 16, 2024 Thread starter #21 mliberali said: Bagonza ubarikiwe maoni kuntu haya, wakipuuza yatakayowakuta yatakuwa makubwa Click to expand... Kazi ya Watumishi wa Mungu na kazi ya Injili ni Kufundisha na kuonya. Baada ya hapo wasilaum mtu.
mliberali said: Bagonza ubarikiwe maoni kuntu haya, wakipuuza yatakayowakuta yatakuwa makubwa Click to expand... Kazi ya Watumishi wa Mungu na kazi ya Injili ni Kufundisha na kuonya. Baada ya hapo wasilaum mtu.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Jan 16, 2024 #22 FUSO said: Huyu ndiyo Askofu sasa, tena ndiye angefaa kuiongoza KKKT yetu. Click to expand... KKKT ni taasisi ya kidini, haya ni maoni ya kisiasa. Ulitaka KKKT iongozwe na mwanasiasa?
FUSO said: Huyu ndiyo Askofu sasa, tena ndiye angefaa kuiongoza KKKT yetu. Click to expand... KKKT ni taasisi ya kidini, haya ni maoni ya kisiasa. Ulitaka KKKT iongozwe na mwanasiasa?
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Jan 16, 2024 Thread starter #23 Kadhi Mkuu 1 said: KKKT ni taasisi ya kidini, haya ni maoni ya kisiasa. Ulitaka KKKT iongozwe na mwanasiasa? Click to expand... Aliyetangaza Juzi majeshi yazuie wanasiasa alikuwa kanisani kwenye Altare
Kadhi Mkuu 1 said: KKKT ni taasisi ya kidini, haya ni maoni ya kisiasa. Ulitaka KKKT iongozwe na mwanasiasa? Click to expand... Aliyetangaza Juzi majeshi yazuie wanasiasa alikuwa kanisani kwenye Altare
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 16, 2024 #24 Kadhi Mkuu 1 said: KKKT ni taasisi ya kidini, haya ni maoni ya kisiasa. Ulitaka KKKT iongozwe na mwanasiasa? Click to expand... Angelisema katiba yetu ya sasa ni bora na Tume yetu ya uchaguzi ni huru - Je ungeyasema haya uliyoyasema?
Kadhi Mkuu 1 said: KKKT ni taasisi ya kidini, haya ni maoni ya kisiasa. Ulitaka KKKT iongozwe na mwanasiasa? Click to expand... Angelisema katiba yetu ya sasa ni bora na Tume yetu ya uchaguzi ni huru - Je ungeyasema haya uliyoyasema?
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Jan 16, 2024 #25 ..Nahitaji maoni yaliyokamilika ya Sheikh Kundecha. ..Pia ningependa kujua kama Sheikh Ponda alifika mbele ya Kamati.
..Nahitaji maoni yaliyokamilika ya Sheikh Kundecha. ..Pia ningependa kujua kama Sheikh Ponda alifika mbele ya Kamati.