Maoni: Kila Mwalimu na Mwanafunzi apimwe covid-19 kabla ya kuanza masomo

Maoni: Kila Mwalimu na Mwanafunzi apimwe covid-19 kabla ya kuanza masomo

Mawazo ya kupima walimu siyaafiki.

Hiki si kipimo rahisi kama cha mimba.Msiliingize taifa kwenye gharama kuubwa huku uchumi wote ikifaidika China pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuzuia infections kupitia njia ya kujua twakimu za waathirika na vifo ninyi hamuiamini?
Anyway, kuchagua ni kupanga. Tumeamini njia zetu, wacha twende na njia zetu hizo hizo.
Sasa kama hauishi mmpime walimu na wanafunzi ili iweje.!?
 
Rais anasema hakuna corona nyie mnataka mpime Corona!, kwanza mtatumia nini kupima, maabara yetu kichefuchefu?!
 
Back
Top Bottom