syanga.mushisa
New Member
- Nov 28, 2012
- 4
- 0
Maoni ya Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
· Katiba itaje wazi kwamba Raia wa washirika wa Muungano ni raia yeyote halali wa Jamhuri ya Muungano
· Ongeza: Bila kuathiri katiba hii Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaweza kukubaliana kuunda shirikisho lenye serikali moja kama watakavyoona inafaa.
· Watendaji wakuu hawa wa serikali za Tanganyika na Zanzibar ambao ndio makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wanaweza kuwa na jina jingine kwa mfano Gavana badala ya kuitwa raisi.
· Gavana wa Tanganyika atakuwa mkuu wa serikali ya Tanganyika na makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano atakayeshughulika na mambo fulani ya Jamhuri ya Muungano na Gavana wa Zanzibar atakuwa ni mkuu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano atakayeshughulika na mambo fulani ya Jamhuri ya Muungano
· Katiba itamke wazi kwamba endapo raisi aliyechaguliwa anatokana na chama cha siasa na alikuwa na uongozi wowote kwenye chama chake hana budi kujiuzulu nafasi hiyo kabla ya kuapishwa kushika madaraka ya raisi
· Ongeza (6) Raisi aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria aweza kugombea tena baada ya kuwa nje ya madaraka baada ya muda fulani
· (3) (b) Asilimia ya wabunge inayotakiwa kutia saini kwa kumshitaki raisi iwe ni moja ya tatu badala ya asilimia ishirini na tano
· (6) Hoja ya kuunda kamati ya uchunguzi iungwe mkono na mbili ya tatu ya wabunge badala ya asilimia sabini na tano
· (12) Kamati ya uchunguzi iungwe mkono na mbili ya tatu ya wabunge badala ya asilimia sabini na tano
· Madaraka ya waziri ni yapi? Katiba ifafanue mawaziri wana madaraka yapi.
Ø Mbunge aliyeshindwa akijua kwamba pindi mpinzani wake akiacha ubunge kwa sababu yeyote ile yeye ndiye anakuwa mbunge bila juhudi ya ziada kuna hatari ya kufanyiana hila na mauaji
Ø Suala la kuchagua mbunge mrithi kutoka chama hicho hicho liangaliwe upya kwa maana kwamba mrithi anatakiwa awe yule aliyeshika nafasi ya pili kwa kura kwenye uchaguzi ule na kwa jinsi hii lazima atatoka kwenye chama kingine au mgombea binafsi kwa vile hakutakuwa na wabunge wawili waliopigiwa kura na wananchi toka chama kimoja.
Ø Kumchagua mbunge wa kurithi toka orodha iliyowasilishwa na chama ni kumpa mtu ubunge ambaye hajapigiwa kura na wananchi
Ø Katiba haijazungumza endapo nafasi ikiachwa wazi na mgombea binafsi mrithi wake anapatikanaje!
· (2) (a) (g) Ongeza (h) ikiwa mtu huyo anamiliki mali au fedha visivyo halali na ameshindwa kuthibitisha uhalali wa umiliki wake
Ø Wanaomba kupitia nafasi zilizotangazwa au
Ø Wanapendekezwa au kuteuliwa na makundi au mamlaka fulani kugombea nafasi hiyo?
- Uhuru na haki ya mazingira safi na salama: Ibara ya 40 (2)
- Haki ya mtoto: Ibara ya 42 (1)(b)
- Haki za watu wenye ulemavu: Ibara ya 44(1)
- Haki za wanawake: Ibara ya 46(1)
- Haki za wazee: Ibara ya 47
- Uraia wa kuzaliwa: Ibara 55(2)
· Katiba itaje wazi kwamba Raia wa washirika wa Muungano ni raia yeyote halali wa Jamhuri ya Muungano
- Muundo wa Muungano: Ibara ya 57(1)
· Ongeza: Bila kuathiri katiba hii Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaweza kukubaliana kuunda shirikisho lenye serikali moja kama watakavyoona inafaa.
- Mambo ya Muungano: Ibara ya 60
- Serikali ya Jamhuri ya Muungano: Ibara ya 67
· Watendaji wakuu hawa wa serikali za Tanganyika na Zanzibar ambao ndio makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wanaweza kuwa na jina jingine kwa mfano Gavana badala ya kuitwa raisi.
· Gavana wa Tanganyika atakuwa mkuu wa serikali ya Tanganyika na makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano atakayeshughulika na mambo fulani ya Jamhuri ya Muungano na Gavana wa Zanzibar atakuwa ni mkuu wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano atakayeshughulika na mambo fulani ya Jamhuri ya Muungano
- Madaraka na Majukumu ya Raisi: Ibara ya 69(1)
· Katiba itamke wazi kwamba endapo raisi aliyechaguliwa anatokana na chama cha siasa na alikuwa na uongozi wowote kwenye chama chake hana budi kujiuzulu nafasi hiyo kabla ya kuapishwa kushika madaraka ya raisi
- Sifa za raisi: Ibara ya 75
- Haki ya kuchaguliwa tena: Ibara ya 76
· Ongeza (6) Raisi aliyemaliza muda wake kwa mujibu wa sheria aweza kugombea tena baada ya kuwa nje ya madaraka baada ya muda fulani
- Utaratibu wa uchaguzi wa raisi: Ibara ya 77
- Bunge kumshitaki raisi: Ibara ya 84
· (3) (b) Asilimia ya wabunge inayotakiwa kutia saini kwa kumshitaki raisi iwe ni moja ya tatu badala ya asilimia ishirini na tano
· (6) Hoja ya kuunda kamati ya uchunguzi iungwe mkono na mbili ya tatu ya wabunge badala ya asilimia sabini na tano
· (12) Kamati ya uchunguzi iungwe mkono na mbili ya tatu ya wabunge badala ya asilimia sabini na tano
- Kiapo, muda na masharti ya kazi ya Waziri na Naibu Waziri: Ibara ya 95
· Madaraka ya waziri ni yapi? Katiba ifafanue mawaziri wana madaraka yapi.
- Madaraka ya Mkuu wa Nchi kuhusu muswada wa sheria: Ibara ya 114
- Kupitishwa kwa hoja za serikali: Ibara ya 115
- Uchaguzi wa wabunge: Ibara ya 116
Ø Mbunge aliyeshindwa akijua kwamba pindi mpinzani wake akiacha ubunge kwa sababu yeyote ile yeye ndiye anakuwa mbunge bila juhudi ya ziada kuna hatari ya kufanyiana hila na mauaji
Ø Suala la kuchagua mbunge mrithi kutoka chama hicho hicho liangaliwe upya kwa maana kwamba mrithi anatakiwa awe yule aliyeshika nafasi ya pili kwa kura kwenye uchaguzi ule na kwa jinsi hii lazima atatoka kwenye chama kingine au mgombea binafsi kwa vile hakutakuwa na wabunge wawili waliopigiwa kura na wananchi toka chama kimoja.
Ø Kumchagua mbunge wa kurithi toka orodha iliyowasilishwa na chama ni kumpa mtu ubunge ambaye hajapigiwa kura na wananchi
Ø Katiba haijazungumza endapo nafasi ikiachwa wazi na mgombea binafsi mrithi wake anapatikanaje!
- Sifa za kuwa mbunge: Ibara ya 117
· (2) (a) (g) Ongeza (h) ikiwa mtu huyo anamiliki mali au fedha visivyo halali na ameshindwa kuthibitisha uhalali wa umiliki wake
- Spika na Naibu Spika: Ibara ya 128 132
Ø Wanaomba kupitia nafasi zilizotangazwa au
Ø Wanapendekezwa au kuteuliwa na makundi au mamlaka fulani kugombea nafasi hiyo?
- Sifa za mtu anayefaa kuchaguliwa kuwa spika au naibu spika: Ibara ya 132
- Akidi ya vikao vya Bunge: Ibara ya 139 (1)
- Mipaka ya majadiliano Bungeni: Ibara ya 142
- Muda wa kuwa madarakani kwa Jaji Mkuu, Naibu Jaji Mkuu na Majaji wengine: Ibara ya 155
- Wajibu wa Tume Huru ya Uchaguzi: Ibara ya 184 (1)
- Masharti kuhusu utaratibu wa kukabidhi madaraka: Ibara ya 236