uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Napenda kuuliza haya maswali kwa wanandoa ambao wamepitia Talaka:
1. Ilikuja Kama surprise au ulitegemea?
2. Uliwezaje kuikabili?
3. Ukirudi nyuma utabadili msimamo?
4. X ana hali gani?
Kwangu Mimi binafsi:
Nina Miaka 4 sasa nimetengana na mke, ilikuwa ni jambo gumu na la mateso sana, ila kwa sasa nimepona kabisa na naanza kuwaangalia Mabinti wa kuoa!
Nafikiri nikiangalia nyuma, ni maamuzi ya maana sana nimewahi kufanya maishani mwangu, inaonekana ngumu ila inawezekana!