Maoni kutoka kwa Watalaka

Maoni kutoka kwa Watalaka

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
17,060
Reaction score
32,400
Napenda kuuliza haya maswali kwa wanandoa ambao wamepitia Talaka:

1. Ilikuja Kama surprise au ulitegemea?
2. Uliwezaje kuikabili?
3. Ukirudi nyuma utabadili msimamo?
4. X ana hali gani?

Kwangu Mimi binafsi:

Nina Miaka 4 sasa nimetengana na mke, ilikuwa ni jambo gumu na la mateso sana, ila kwa sasa nimepona kabisa na naanza kuwaangalia Mabinti wa kuoa!

Nafikiri nikiangalia nyuma, ni maamuzi ya maana sana nimewahi kufanya maishani mwangu, inaonekana ngumu ila inawezekana!
 
Kama ndo yako:

1. Haina physical abuse.
2. Emotionally abuse
3. Sio usaliti wa ndoa

Pigania ndoa yako, ukitoka hapo ni ngumu sana kuamini mwanamke yeyote!
 
Kama unaelekea Talaka, Mungu akusaidie, Kama umivuka, hemu tushirikishe, kuna watu itawaponya, Kama upo kwenye talaka na moyo unateseka sana, speak it, nimepita hapo, ni pagumu sana!
 
Kama ndo yako:

1. Haina physical abuse.
2. Emotionally abuse
3. Sio usaliti wa ndoa

Pigania ndoa yako, ukitoka hapo ni ngumu sana kuamini mwanamke yeyote!
Pole sana Mkuu🥺
 
Aaaaah actually.....
Let me say this .......
However .............
Aaah Too personal.....
 
Back
Top Bottom