uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Oct 26, 2024 #1 Napenda kuuliza haya maswali kwa wanandoa ambao wamepitia Talaka: 1. Ilikuja Kama surprise au ulitegemea? 2. Uliwezaje kuikabili? 3. Ukirudi nyuma utabadili msimamo? 4. X ana hali gani? Kwangu Mimi binafsi: Nina Miaka 4 sasa nimetengana na mke, ilikuwa ni jambo gumu na la mateso sana, ila kwa sasa nimepona kabisa na naanza kuwaangalia Mabinti wa kuoa! Nafikiri nikiangalia nyuma, ni maamuzi ya maana sana nimewahi kufanya maishani mwangu, inaonekana ngumu ila inawezekana!
Napenda kuuliza haya maswali kwa wanandoa ambao wamepitia Talaka: 1. Ilikuja Kama surprise au ulitegemea? 2. Uliwezaje kuikabili? 3. Ukirudi nyuma utabadili msimamo? 4. X ana hali gani? Kwangu Mimi binafsi: Nina Miaka 4 sasa nimetengana na mke, ilikuwa ni jambo gumu na la mateso sana, ila kwa sasa nimepona kabisa na naanza kuwaangalia Mabinti wa kuoa! Nafikiri nikiangalia nyuma, ni maamuzi ya maana sana nimewahi kufanya maishani mwangu, inaonekana ngumu ila inawezekana!
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Oct 26, 2024 #2 Time heal
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Oct 26, 2024 Thread starter #3 Red black said: Time heal Click to expand... True, kwa mda gani? Katika mambo magumu ili kwangu lilikuwa gumu. Hata adui yangu sitaki ayapitie!
Red black said: Time heal Click to expand... True, kwa mda gani? Katika mambo magumu ili kwangu lilikuwa gumu. Hata adui yangu sitaki ayapitie!
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Oct 26, 2024 Thread starter #4 Kama ndo yako: 1. Haina physical abuse. 2. Emotionally abuse 3. Sio usaliti wa ndoa Pigania ndoa yako, ukitoka hapo ni ngumu sana kuamini mwanamke yeyote!
Kama ndo yako: 1. Haina physical abuse. 2. Emotionally abuse 3. Sio usaliti wa ndoa Pigania ndoa yako, ukitoka hapo ni ngumu sana kuamini mwanamke yeyote!
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 17,060 Reaction score 32,400 Oct 26, 2024 Thread starter #5 Kama unaelekea Talaka, Mungu akusaidie, Kama umivuka, hemu tushirikishe, kuna watu itawaponya, Kama upo kwenye talaka na moyo unateseka sana, speak it, nimepita hapo, ni pagumu sana!
Kama unaelekea Talaka, Mungu akusaidie, Kama umivuka, hemu tushirikishe, kuna watu itawaponya, Kama upo kwenye talaka na moyo unateseka sana, speak it, nimepita hapo, ni pagumu sana!
Minah JF-Expert Member Joined Dec 23, 2018 Posts 840 Reaction score 2,343 Oct 26, 2024 #6 uttoh2002 said: Kama ndo yako: 1. Haina physical abuse. 2. Emotionally abuse 3. Sio usaliti wa ndoa Pigania ndoa yako, ukitoka hapo ni ngumu sana kuamini mwanamke yeyote! Click to expand... Pole sana Mkuu🥺
uttoh2002 said: Kama ndo yako: 1. Haina physical abuse. 2. Emotionally abuse 3. Sio usaliti wa ndoa Pigania ndoa yako, ukitoka hapo ni ngumu sana kuamini mwanamke yeyote! Click to expand... Pole sana Mkuu🥺
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Oct 26, 2024 #7 Aaaaah actually..... Let me say this ....... However ............. Aaah Too personal.....