Yesu alisha wahi kua na kazi au kuajiliwa popote sasa masuala ya kazi aliajulia wapi? Yeye kwa uoga wake alikimbia dunian haraka miaka 33 tu angeka mpaka miaka 60 asingetoboa acha maisha haya
YESU KAZI YAKE ILIKUWA NI USEREMALA

PILI YESU NI SHUJAA HAJAWAI KIMBIA LOLOTE

why uite watu ni wajinga kisa tu hawajui kusoma na kuandika. wewe unajua kila kitu
hata Wasira alishasema mshahara hautajirishi mtu, hivyo tunapochahua kuajiriwa ,automatically tumechagua umasikini
Ujinga ni hali ya mtu kutofahamu jambo fulani. Hata wewe au mimi tunaweza kuwa na kaujinga kwenye maeneo fulani.
Kumuamini mtu ukampa kitu fulani kisha akakutapeli, huo ni ujinga. Ila ukirudia tena pasipo kujifunza, huo unaitwa upumbavu.

Kwa kifupi watu wengi sana kwenye hili taifa la wadanganyika, ni wajinga. Kujua kusoma na kuandika hakukuondolei ujinga. Unaweza kujua kusoma na kuandika yasiyokuwa na msaada au tija yoyote.
 
Mwanao unamfundisha mwenyewe sio..acha kiburi heshimu taalama za wenzio. Uwalimu ni wito.
 
YESU KAZI YAKE ILIKUWA NI USEREMALA

PILI YESU NI SHUJAA HAJAWAI KIMBIA LOLOTE

YESU KAZI YAKE ILIKUWA NI USEREMALA

PILI YESU NI SHUJAA HAJAWAI KIMBIA LOLOTE
Wewe unasumbulia na Imani potofu, Yesu akupaa baada ya kuona mambo magumu duniani kwanini akuenda kutafuta kazi na kuanzisha familia naomba uwe pragamatic sio kua religious fanatic
 
KWANI HESHIMA NA DHARAU KIPI CHEMA?? SIO KAMALI TU HATA MUUZA GONGO, KAHABA WEWE HESHIMU TU MAANA WA KUHUKUMU NI YESU TU

MAANA HESHIMA NI JAMBO JEMA HUWEZA HATA KUMBADILISHA HUYO MCHEZA KAMARI, ILA HUZARAU HUCHOCHEA UOVU
Hapa tunaongelea KAZI na sio WAFANYA HIZO KAZI elewa tofauti kiongozi.

Barikiwa.
 
Huyo ni Fala Tu Hana pesa wala biashara yeyote...huyu ni mjinga tu na hakuna anachojua kwenye ulimwengu wa bias
 
Kila kazi halari ina Baraka za Mungu.
Wewe unataka utajiri ili ufanye jambo gani jipya?
Unataka watoto wa maskini haswa huko vijijini wafundishwe na nani?
''''''''''''''''''''''''''
Mimi ningekuwa Mwalimu ningeomba nikafundishe kwenye vijiji vyenye hali ya hewa nzuri na ardhi yenye rutuba.
Ule mtaji wa mshahala mdogo ningewekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Ningepiga pesa ya hatari sana.
 
Ifike sehemu Mpwayungu Village na walimu mkae chini mmalize tofauti zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…