Mdogo wangu mwaka 2019 alimaliza chuo akaenda dar kwenye umachinga wa vyombo, ndan ya mwaka mmoja wa umachinga aliweza kujenga kijumba kijijin chenye thaman ya zaid ya mil 10. Baadae magu akatangaza ajira dogo akaomba akafanikiwa. Akapangiwa shinyanga vijijin ndan ndan. Dogo mwanzon mwanzon wa ajira alitaka kuacha ila akaona ajiongeze, akanunua eneo center akajenga ukumbi wa mpira akafungua na kiduka akamuweka mke wake. Sasa hvi ni mwaka wa nne kwenye ajira ana ukumbi mkubwa wa mpira, duka la jumla na rejareja, guta mbili na mwezi huu amefungua kiwanda cha maandazi mradi umechukua zaid ya mil 20 kuanzia kiwanja, jengo, mitambo na pikipiki 4 za kusambazia. Kwahiyo walimi jiongezen achen kulialia
 
Mwingine mwaka jana nimeenda sikonge vijijin ndan ndan kuna mwalim nilikutana nae ni kijana tu bado hajaoa ana miaka mi3 kazini na yeye anasema mwanzon alitaka kukimbia ajira ila baadae akajiongeza... Ametundika mizinga ya nyuki ile ya box anasema kwa sasa ipo zaidi ya mia 5. Kila msimu hakosi asali zaid ya dum 100. Kila mwaka anaongeza mizinga mipya porini anasema lengo ni kufikia mizinga elfu 1
 
Kwakiyo tuwashauri waalimu waende shinyanga vijijini ni muujiza ndani ya miaka minne mualkmu wa shule ya msingi kawekeza zaidi ya 50m ni muujiza kama sio chai
 
Hao wanadai katiba mpya indirect!!

Sema we huna D mbili huwezi kunielewa!!

Mbona mi ni tajiri !!?au utajiri unaanzia sh. Ngapi na Kwa maoni ya nani ndio yanaaaminisha kuwa mtu ni tajiri!!
 
Hii ni chai,
 
Mimi sijaamini manaake kwa mwaka kama anaweza kutengeneza 10m, hamna haja ya kutafuta ajira ila aliendelea kutafuta ajira ya ualimu hapo naona sio kweli.
mkuu sio chai unakumbuka zile ajira za magufuli kipindi kile? Dogo ndio alikuwa ametoka kumaliza chuo tukuyu mbeya, yupo kwenye umachinga na hajaomba ajira popote. Alijaribu mara moja tu akafanikiwa akapangiwa shinyanga. Biashara ya kukopesha vyombo kipindi kile ilikuwa na hela sana msimuone mtu anazurura na mzigo wa vyomba ukamdharau, uhakika wa kulala na faida 50 baada ya makusanyo upo
 
Sawa hayo yote ukakasi uko kwenye kiasi cha faida cha 50m baada ya miaka minne tu, ni nyingi mno, af ukiwa nakazi ya kuingizia 10m kwa mwaka kwanini uache huende kwenye ajira ya tumwa tena ualimu wa primary kule shy bushi kwenye wa chawi....the story dont add up mkuu.
 
mkuu maisha ni mipango, yeye kipindi anafanya umachinga baadae aliwafata vijana 4 kijijin akajitanua, baadae alivyogeukia ajira vijana waliendelea kuwasilisha hesabu japo kwasasa sijui kama zoezi hilo linaendelea. Kuhusu kipato kinachozi mtaji, mimi mi3 nyuma kunabiashara nilikuwa nafanya kuwasambazia bidhaa fulan madukan ni biashara ngeni machon mwa watu mzigo tulikuwa tunachukulia kwa wakala wetu aliekuwa anafata zambia... Kwa mwezi nilikuwa nasambaza zaid ya katon moja na uhakika wa kuvuna mil mbili mpaka tatu ilikuwa kawaida. Kazi hiyo niliifanya kama miez 6 kabla haijavamiwa na waharibifu ikapoteza dhaman.
 
Chai uongo wa wazi kabisa. Sijui kama unafahamu mazingira ya kazi huko vijijini kuanzia watumishi wa halmashauri hadi wananchi wa huko
 
Sio kweli usitudanganye sisi kwa sababu na sisi tunafikiria sio bogus
 
Tangu ufukuzwe ualimu umekuwa na chuki sana kwa waalimu!

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…