Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Boda boda jau sana amkuu acha tuuBora ukawe boda boda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boda boda jau sana amkuu acha tuuBora ukawe boda boda tu
Kwakiyo tuwashauri waalimu waende shinyanga vijijini ni muujiza ndani ya miaka minne mualkmu wa shule ya msingi kawekeza zaidi ya 50m ni muujiza kama sio chaiMdogo wangu mwaka 2019 alimaliza chuo akaenda dar kwenye umachinga wa vyombo, ndan ya mwaka mmoja wa umachinga aliweza kujenga kijumba kijijin chenye thaman ya zaid ya mil 10. Baadae magu akatangaza ajira dogo akaomba akafanikiwa. Akapangiwa shinyanga vijijin ndan ndan. Dogo mwanzon mwanzon wa ajira alitaka kuacha ila akaona ajiongeze, akanunua eneo center akajenga ukumbi wa mpira akafungua na kiduka akamuweka mke wake. Sasa hvi ni mwaka wa nne kwenye ajira ana ukumbi mkubwa wa mpira, duka la jumla na rejareja, guta mbili na mwezi huu amefungua kiwanda cha maandazi mradi umechukua zaid ya mil 20 kuanzia kiwanja, jengo, mitambo na pikipiki 4 za kusambazia. Kwahiyo walimi jiongezen achen kulialia
Hao wanadai katiba mpya indirect!!This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.
Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.
Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha. Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz 😂😂😂
Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi
Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life
View attachment 3059180
Hii ni chai,Mdogo wangu mwaka 2019 alimaliza chuo akaenda dar kwenye umachinga wa vyombo, ndan ya mwaka mmoja wa umachinga aliweza kujenga kijumba kijijin chenye thaman ya zaid ya mil 10. Baadae magu akatangaza ajira dogo akaomba akafanikiwa. Akapangiwa shinyanga vijijin ndan ndan. Dogo mwanzon mwanzon wa ajira alitaka kuacha ila akaona ajiongeze, akanunua eneo center akajenga ukumbi wa mpira akafungua na kiduka akamuweka mke wake. Sasa hvi ni mwaka wa nne kwenye ajira ana ukumbi mkubwa wa mpira, duka la jumla na rejareja, guta mbili na mwezi huu amefungua kiwanda cha maandazi mradi umechukua zaid ya mil 20 kuanzia kiwanja, jengo, mitambo na pikipiki 4 za kusambazia. Kwahiyo walimi jiongezen achen kulialia
Jamaa kafanya umachinga ndani ya mwaka mmoja kajenga nyumba ya 10m+, na sasa ana mabiashara ya zaidi ya 30mlKwakiyo tuwashauri waalimu waende shinyanga vijijini ni muujiza ndani ya miaka minne mualkmu wa shule ya msingi kawekeza zaidi ya 50m ni muujiza kama sio chai
Mimi sijaamini manaake kwa mwaka kama anaweza kutengeneza 10m, hamna haja ya kutafuta ajira ila aliendelea kutafuta ajira ya ualimu hapo naona sio kweli.Jamaa kafanya umachinga ndani ya mwaka mmoja kajenga nyumba ya 10m+, na sasa ana mabiashara ya zaidi ya 30ml
kivpiHii ni chai,
mkuu sio chai unakumbuka zile ajira za magufuli kipindi kile? Dogo ndio alikuwa ametoka kumaliza chuo tukuyu mbeya, yupo kwenye umachinga na hajaomba ajira popote. Alijaribu mara moja tu akafanikiwa akapangiwa shinyanga. Biashara ya kukopesha vyombo kipindi kile ilikuwa na hela sana msimuone mtu anazurura na mzigo wa vyomba ukamdharau, uhakika wa kulala na faida 50 baada ya makusanyo upoMimi sijaamini manaake kwa mwaka kama anaweza kutengeneza 10m, hamna haja ya kutafuta ajira ila aliendelea kutafuta ajira ya ualimu hapo naona sio kweli.
Sawa hayo yote ukakasi uko kwenye kiasi cha faida cha 50m baada ya miaka minne tu, ni nyingi mno, af ukiwa nakazi ya kuingizia 10m kwa mwaka kwanini uache huende kwenye ajira ya tumwa tena ualimu wa primary kule shy bushi kwenye wa chawi....the story dont add up mkuu.mkuu sio chai unakumbuka zile ajira za magufuli kipindi kile? Dogo ndio alikuwa ametoka kumaliza chuo tukuyu mbeya, yupo kwenye umachinga na hajaomba ajira popote. Alijaribu mara moja tu akafanikiwa akapangiwa shinyanga. Biashara ya kukopesha vyombo kipindi kile ilikuwa na hela sana msimuone mtu anazurura na mzigo wa vyomba ukamdharau, uhakika wa kulala na faida 50 baada ya makusanyo upo
mkuu maisha ni mipango, yeye kipindi anafanya umachinga baadae aliwafata vijana 4 kijijin akajitanua, baadae alivyogeukia ajira vijana waliendelea kuwasilisha hesabu japo kwasasa sijui kama zoezi hilo linaendelea. Kuhusu kipato kinachozi mtaji, mimi mi3 nyuma kunabiashara nilikuwa nafanya kuwasambazia bidhaa fulan madukan ni biashara ngeni machon mwa watu mzigo tulikuwa tunachukulia kwa wakala wetu aliekuwa anafata zambia... Kwa mwezi nilikuwa nasambaza zaid ya katon moja na uhakika wa kuvuna mil mbili mpaka tatu ilikuwa kawaida. Kazi hiyo niliifanya kama miez 6 kabla haijavamiwa na waharibifu ikapoteza dhaman.Sawa hayo yote ukakasi uko kwenye kiasi cha faida cha 50m baada ya miaka minne tu, ni nyingi mno, af ukiwa nakazi ya kuingizia 10m kwa mwaka kwanini uache huende kwenye ajira ya tumwa tena ualimu wa primary kule shy bushi kwenye wa chawi....the story dont add up mkuu.
Wakiwalipa vizuri tu tayari serikali itakua imejiharibia fursa za wasimamizi wa bei bure tena wanaokopesha nguvu na maarifa yaoSerikali inabidi iwaangalie kwa jicho la bundi ili kuwakomboa wapigania elimu
Chai uongo wa wazi kabisa. Sijui kama unafahamu mazingira ya kazi huko vijijini kuanzia watumishi wa halmashauri hadi wananchi wa hukoMdogo wangu mwaka 2019 alimaliza chuo akaenda dar kwenye umachinga wa vyombo, ndan ya mwaka mmoja wa umachinga aliweza kujenga kijumba kijijin chenye thaman ya zaid ya mil 10. Baadae magu akatangaza ajira dogo akaomba akafanikiwa. Akapangiwa shinyanga vijijin ndan ndan. Dogo mwanzon mwanzon wa ajira alitaka kuacha ila akaona ajiongeze, akanunua eneo center akajenga ukumbi wa mpira akafungua na kiduka akamuweka mke wake. Sasa hvi ni mwaka wa nne kwenye ajira ana ukumbi mkubwa wa mpira, duka la jumla na rejareja, guta mbili na mwezi huu amefungua kiwanda cha maandazi mradi umechukua zaid ya mil 20 kuanzia kiwanja, jengo, mitambo na pikipiki 4 za kusambazia. Kwahiyo walimi jiongezen achen kulialia
Sio kweli usitudanganye sisi kwa sababu na sisi tunafikiria sio bogusmkuu sio chai unakumbuka zile ajira za magufuli kipindi kile? Dogo ndio alikuwa ametoka kumaliza chuo tukuyu mbeya, yupo kwenye umachinga na hajaomba ajira popote. Alijaribu mara moja tu akafanikiwa akapangiwa shinyanga. Biashara ya kukopesha vyombo kipindi kile ilikuwa na hela sana msimuone mtu anazurura na mzigo wa vyomba ukamdharau, uhakika wa kulala na faida 50 baada ya makusanyo upo
Trust me that's not tea!!Hii ni chai,
Tangu ufukuzwe ualimu umekuwa na chuki sana kwa waalimu!This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.
Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.
Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha. Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz [emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi
Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life
View attachment 3059180
Unaon5Trust me that's not tea!!
Hii inawezekana kabisa!provided hupati majanga ya kifamilia!!
Pia Mungu akikufungulia madirisha ya Baraka hakuna wa kuyafunga!!
Miaka kumi ya uwekezaji inatosha kabisa kukutoa!
Kama ni hivyo utu wa waalimu upo chini sanaKazi ni kipimo cha utu