Unasoma chekechea,

unaenda shule ya msingi.

Badae sekondari.

Mwisha chuo.

Unapata kazi tena ya ualimu unarudi shule.

Kiufupi ukiwa mwalimu maisha yako yanakua ki shule shule tu.😁
 
Poverty is a condition where individuals lack the financial resources to sustain theessentials for a minimum standard of living
 
Ila kwa upande wangu nachukulia chanya kwa maandishi ya mtoa mada

Unajua kwa nini?

Anawafanya walimu wawe na hasira ya kupambana zaidi,kwahiyo naamini kabisa kutokana na nyuzi za mwamba kuna msukumo fulani baadhi ya walimu wanaupata na kuzidi kupambana

Walimu pambaneni na msikate tamaa
 
Ualimu na kazi za halmashauri hawachekani. Serikali iyaangalie haya makundi 2 wanapitia msoto sana
 
Ukiondoa baadhi ya walimu "wasiojitambua", ualimu ndiyo kazi Bora kuliko zingine zote. Kwa nini? Kwa sababu ndiyo msingi wa kila taaluma.

Taaluma gani haijaguswa na ualimu? Kudharau ualimu ni kudharau Elimu. Ukitaka kuliharibu Taifa kirahisi, waharibu waalimu. Ni miaka michache tu utaanza kuona matokeo.
 
Serikali msipochukua hatua za haraka hawa watu tutawaweka kwenye kund la special grup ili tuanze kupeleka charity centers mpaka kwa walimu maana sio kwa maisha magumu wanayoishi, wanakuwa kama wafungwa wa keko ahsee. Waoneeni huruma

Mwalimu analipwa mshahara mdogo sana pia ni mtumishi peke ambae Hana posho ndio mana wanadharaulika mitaan, Ukiona salary slip ya ticha unaona muokota makopo anaenjoy jmn

Wanaishi maisha ya kunuka, maisha yakutupwa below poverty line, Wana red light ya kuishi maisha ya hatari mana kwa binadam wa kawaida si rahisi kuishi kwa mshahara wanaopewa, hawa ni binadam sio nguruwe naomba muwakumbuke
 
Ulishapata mume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…