Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mikopo mingi ila hopefully atakuwa kajenga
Ukiondoa baadhi ya walimu "wasiojitambua", ualimu ndiyo kazi Bora kuliko zingine zote. Kwa nini? Kwa sababu ndiyo msingi wa kila taaluma.This job is hell on earth!!. Hawa watu wametapakaa mitaani kama jobless kumbe watumish.
Fursa ya sensa wapo, fursa ya kuandikisha daftar la kudumu wapo, fursa za kuhesabisha na kusimamia kura wapoo, anuani za makazi waoo tu,.
Unashindwa kuelewa whats wrong nahawajawahi kuelimika wala kupiga hatua. Walimu jaribun kuepuka hizi fezeha. Tunawaheshim Ila nyie mnajidisvalue, just imagine ticha unaenda kukopa pesa kwa mwanafunz 😂😂😂
Biashara zao ni vitumbua na ubuyu shuleni over. Sasa utatajirika vipi
Take care otherwise mtakuwa poverty ambassador whole life
View attachment 3059180
Ulishapata mume?Serikali msipochukua hatua za haraka hawa watu tutawaweka kwenye kund la special grup ili tuanze kupeleka charity centers mpaka kwa walimu maana sio kwa maisha magumu wanayoishi, wanakuwa kama wafungwa wa keko ahsee. Waoneeni huruma
Mwalimu analipwa mshahara mdogo sana pia ni mtumishi peke ambae Hana posho ndio mana wanadharaulika mitaan
Ukiona salary slip ya ticha unaona muokota makopo anaenjoy jmn
Wanaishi maisha ya kunuka, maisha yakutupwa below poverty line, Wana red light ya kuishi maisha ya hatari mana kwa binadam wa kawaida si rahisi kuishi kwa mshahara wanaopewa, hawa ni binadam sio nguruwe naomba muwakumbuke
Kimewaka 😂Ulishapata mume?
Jamaa kuna wakati alitangaza akipatikana mtu mwenye 50m anakubali kumpa kinyeo.Kimewaka 😂
Ulishapata mume?
Nakuheshim sanaUlishapata mume?