Lkn miaka hii kuna walimu wapo good tu economically japo sio wengi ... nowadays shule mingi zna tu gari nje twa maticha hii ni improvement kubwa....kipind npo o-level nlkuwaa nakaa kwa faza mdogo ni ticha aseee tulikuwa tunakosa hadi unga wa ugali.....
 
Walimu waliopo humu watajuta kukufahamu
 
Unamaanisha hata walimu wanaoishi Dar nao choka mbaya hawana pesa?
 
Acha uongo yaan unavowasema walim n kama jamii ya mwisho kabisa kwa maisha duni mbona mtaan kuna watu kibao maisha ya ovyo afadhali walim mara elfu yaan mtu anakopesheka benk bila hati ya nyumba halaf unasema ana maisha magum kiasi icho we jamaa n mwehu kweli ivi walim wengi wana nyumba zaidi ya mbili tena dar kabisa ss huo umaskin unatoka wapi kama mtu una nyumba mbili mshahara si chini ya laki 7 au 9 ss hayo maisha magum yanatoka wapi
 
Mwaka gani hiyo, mlikua mnakosa hadi ungaπŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu ilikuwa mke wa mtu nn huko gerezan, maana nasikia ukikubali kutoa jicho la tatu huko unaishi kama malkia Elizabeth
 
Mkuu ilikuwa mke wa mtu nn huko gerezan, maana nasikia ukikubali kutoa jicho la tatu huko unaishi kama malkia Elizabeth
Hapana mdogo wangu umasikini wa watanzania ndiyo unaamua uishije gerezani ,Sasa umewekwa ndani kwa kesi ya kuiba kuku na Mimi nimewekwa kwa uhujumu uchumi wa bilioni nne za serikali unahisi tutaishi sawa ndani mdogo wangu ?

Lakini kingine kinachoamua uishije kule ni unatoka familia gani mdogo wangu ,wewe wa familia ya baba mzazi mwalimu mama mzazi ni mfugaji wa mende ,hatuwezi lingana na Mimi ambaye baba na babu Wana historia hapa nchini rafiki yangu .

Anyway karibu tunywe ulanzi niko na wanakijiji hapa tunakunywa ulanzi taratibu tunaisubiri sikukukuu ya nane nane kwa hamu niko nawasimulia juu ya wale watoto wa Samia waliobaka kadada ka watu
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…