mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
mama yangu alikuwa mwalimu, akabadili gia akaenda kusomea business management
anasema kipindi alikuwa mwalimu kilikuwa kipindi kigumu maishani mwake
siwezi kudhihaki walimu kwasababu nina ndugu wengi waalimu, sitaki kujiona mnafki