🀣🀣🀣🀣🀣
 


Sio kweli mkuu umetia chumvi
 
Kwa maisha ya Sasa chini ya million moja ww kapuku wa kutupwa
 
Huyu mwehu/shoga hajui kuwa kuna waalimu wana kunja above 1.5M take home
 
Wewe ni kiazi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sawa kaka usinisahau ktk ufalme wko
 
Hapo keko ulikuwa mfungwa au nani?
 
Chai.
 
WANAISHI KUTOKANA NA KAULI MBIU HAYO.

CHAGUA CCM, CHAGUA UMASKINI
 
Kwahio ukiona gari nje ya shule unaona maisha yao ni mazuri....
 
Ushawahi kukaa gerezani popote pale ndani ya Tz?
 
Alikuwa anahonga sana huyo.
 
Mbona masimamgo blood kwa waalimu.
Huyu nae ni mwalimu kwahiyo anaongelea yanayomsibu binafsi. Pia ukumbuke mwalimu huyu kila anapokosa dili la kiualimu, LAZIMA aje humu kuwananga! Mfano, juzi na jana kuna baadhi ya mikoa ilikuwa na intavyuu ya walimu walioomba kufanya kazi ya "Kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura". Sasa inawezekana, aidha aliomba hajaitwa kwenye intavyuu au ameshindwa intavyuu yenyewe! Ahahahahaha! Sasa mpaka hasira zimuishie, walimu wataipata fresh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…