Niwewe usiye. Na maono unaona uwalimu mateso. Kunawenzako ni mabilionea vijijini mpaka hawataki kuhama. Yaani hata mshahara hawagusi. Wewe lia lia tu
 
Niwewe usiye. Na maono unaona uwalimu mateso. Kunawenzako ni mabilionea vijijini mpaka hawataki kuhama. Yaani hata mshahara hawagusi. Wewe lia lia tu
Kuna walimu akaunti Zina 100m na ukimuona humjuwi
 
Ulipoongea walimu wa mijini hapo nakuunga mkono,tatizo lao hata kile kidogo wanachopata hawataki kuwekeza kwenye biashara,mbaya zaidi siku hizi wengi wamengia kwenye kamari
 
Mpwayungu umerudi kuendelea na walimu🀣 haya Karibu endelea ulipoishia
 
Nawashauri waingie kwenye mikopo ya benki, ila hiyo mikopo ya mda mrefu ni pasua kichwa. Ukisikia "kausha damu" ni hii mikopo, riba ni kubwa mno. Muulize mwalimu akichukuwa m 10, mpaka amalize kulipa atakuwa anarudisha mara 2 yake.
 
Hi guys, tumeshuhudia watu wakitoka kwenye ualimu wanaenda kusoma hata sheria ili waje wafanye recategorization kuwa wanasheria wengine wanatoka ualimu kuwa madaktari ima ualimu kuwa wahasibu.. Sasa nataka kujua

Je Kuna mtu amewahi kuwa muhasibu akasema staki ngoja nikasomee ualimu ili niwe mwalimu au kutoka udaktari kuwa mwalimu au engineer kuwa mwalimu je yupo?
 
Umerudi kuvuna karanga na Alizeti,Walimu watakukoma!(mpwayungu)_Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…