Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu
Hii kazi ni kaa la moto, nakutana na walimu barabarani wakiwa sura zimechoka, zimechimbika kama alien.

Ni watu wema sana kwa kazi yao Ila sio kwa akili walizonazo maana mambo yao always huwa ni sad and fun at the same time. Walimu bongo niwatu waliopo kwenye jumuiya ya TASAF maana kumudu mlo kamili hawawezi hata wauze ubuyu na barafu shuleni.

Hawa watu nguo zao huwa ni outdated, wanavaa pepe kale mpaka leo yani ukimwona mwalimu huuliz maana anaonekana, chakula Chao ni ugali na maharage siku ya mshahara asubuhi watoto wao wanaweza Pata mkate na mchana Wali maharage nayo sherehe kwao.

Nyumba zao ni kama magofu ya kale labda mpaka astafu napo mda wa kustafu anapata pressure, kisukali, tetekuwanga, ukoma na mkanda wa jeshi mwisho anakufa na kiharusi kwa kukatwa miguu kwa sababu ya kisukari.

Hawa watu wanapigika na jehanam wakiwa bongo mpaka kufa kwao 😭😭😭😭
Niwewe usiye. Na maono unaona uwalimu mateso. Kunawenzako ni mabilionea vijijini mpaka hawataki kuhama. Yaani hata mshahara hawagusi. Wewe lia lia tu
 
Niwewe usiye. Na maono unaona uwalimu mateso. Kunawenzako ni mabilionea vijijini mpaka hawataki kuhama. Yaani hata mshahara hawagusi. Wewe lia lia tu
Kuna walimu akaunti Zina 100m na ukimuona humjuwi
 
Mkuu mimi ni mwalimu kwa miaka kumi sasa. Nakuunga mkono na nina mengi ya kusimulia sema tu nchi yetu bado haina uhuru wa mawazo. Nitatafuta platform nzuri niweze kuiandikia serikali na kuishauri vizuri namna ya kutatua changamoto za walimu katika hali hii hii ya uchumi tuliyo nayo. Ni kwa bahati mbaya sana hakuna hiyo political will ya kuboresha maisha ya walimu

Ni bahati yangu tu mimi mchagga nilijiongeza sana mitaani lakini kusema ukweli 98% ya walimu wa mijini hawamudu milo mitatu kwa familia zao! Very sad 😢
Ulipoongea walimu wa mijini hapo nakuunga mkono,tatizo lao hata kile kidogo wanachopata hawataki kuwekeza kwenye biashara,mbaya zaidi siku hizi wengi wamengia kwenye kamari
 
Mpwayungu umerudi kuendelea na walimu🤣 haya Karibu endelea ulipoishia
 
Nawashauri waingie kwenye mikopo ya benki, ila hiyo mikopo ya mda mrefu ni pasua kichwa. Ukisikia "kausha damu" ni hii mikopo, riba ni kubwa mno. Muulize mwalimu akichukuwa m 10, mpaka amalize kulipa atakuwa anarudisha mara 2 yake.
 
Hi guys, tumeshuhudia watu wakitoka kwenye ualimu wanaenda kusoma hata sheria ili waje wafanye recategorization kuwa wanasheria wengine wanatoka ualimu kuwa madaktari ima ualimu kuwa wahasibu.. Sasa nataka kujua

Je Kuna mtu amewahi kuwa muhasibu akasema staki ngoja nikasomee ualimu ili niwe mwalimu au kutoka udaktari kuwa mwalimu au engineer kuwa mwalimu je yupo?
 
Umerudi kuvuna karanga na Alizeti,Walimu watakukoma!(mpwayungu)_Dodoma.
 
Back
Top Bottom