Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Samatta na bahati ya kutajwa tu midomoni mwa watu, ila haujui mpira kama Msuva,.. Msuva kwetu ndiye msaada wetu,.. Naamini Nchimbi na Msuva na Chilunda wangepewa combination ya Kumaliza kule mbele, tungevuna magoli sana,.. Ila huyu samatta, hamna lolote,.. Aachwe tu
 
Ni Wivu tu labda Sammata huyu anatumia Mguu wa BAUNSA.
 
Samatta amekua bitozz sana.. hata kama alikua anaogopa kuumia.basi angetoa passi za kueleweka au movement zake zingezaa mipira hatari kama wanavyo fanya mastar wajuu kama kina neymar, ronaldo, ronaldinho etc.

Tatizo lake analazimisha aonekane mwema, ana cheka tuu.. sijawahi kuona messi au ronaldo au neymar anacheka timu yake y taif ikifungw..

Vita ni vita muraa..
 
Mkuu samatta anazingua.. tatizo yeye tuu ndio anacheza ligi kubwa..

Natamani kina kelvin john wakue waje waonyeshe nini maana ya kuwa mchezaji mkubwa.
 
Hovyo kabisa samata ameshajiona super star sio yeye tu ni hulka za hovyo za watz hata mtu akifungua biashara akiona inachanganya anaanza nyodo..maofisin hivyo hivyo sisi tuna upuuzi mwingi sana.sana sana
 
Kila nikijitoa kuishabikia taifa stars tunafungwa ha ha ha! Nimeizira nitakuwa nasubiri kombe la dunia tu nishabikie mabeberu huko ndo kuna mpira.. hadi wamemkata magu shauku!! Sahivi ikulu wata
pasikia tušŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mkuu samatta anazingua.. tatizo yeye tuu ndio anacheza ligi kubwa..

Natamani kina kelvin john wakue waje waonyeshe nini maana ya kuwa mchezaji mkubwa.
Hivi unampima Samatta kwa hizi mechi 2? Umeangalia mechi ngapi za stars? Huuoni kabisa mchango wake kweli?
 
Mbwana hata genk huwa ni bahati tu inamuangukia ya kufunga. Lkn huwa sioni km ni mchezaji wa kiwango kikubwa km tunavyoaminishwa!! Mbwana hawezi kucheza England hata division 1. Hakuna timu ya England inayoweza kumnunua!!
 
Na akisajiliwa EPL utasemaje?
 
Ukweli ni kwamba mechi ya jana katuua Ramadhani Kessy sijui alikuwa amevuta bangi ya wapi jana.

Timu inashambuliwa yeye yuko kwenye final third ya Libya sijui alikuwa anataka nini yule fala, anafanya tackling ya faulo ndani ya kumi na nane huu upumbavu.
 
Kesi ndiyo farasa la kutupwa sijui nikigezo gani kinacho fanya aitwe katika timu ya taifa.
 
Jamaa anacheza kama hataki yaani bariidiiišŸ˜€
 
Mbwana hata genk huwa ni bahati tu inamuangukia ya kufunga. Lkn huwa sioni km ni mchezaji wa kiwango kikubwa km tunavyoaminishwa!! Mbwana hawezi kucheza England hata division 1. Hakuna timu ya England inayoweza kumnunua!!
Daah mkuu kakukosea nini huyu dogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…