Mkuu kama unamfatilia ni mchezaji mzuri mkuu kwa hilo tumpe haki yake.Mbwana hata genk huwa ni bahati tu inamuangukia ya kufunga. Lkn huwa sioni km ni mchezaji wa kiwango kikubwa km tunavyoaminishwa!! Mbwana hawezi kucheza England hata division 1. Hakuna timu ya England inayoweza kumnunua!!
Kuwa mtu mzima mkuu. Timu inaendeshwa kwa kodi zetu.Sasa we unafananisha viungo wa Genk na Tanzania? ndugu mpira unaangalia au unasimuliwa? Tanzania Samatta mwenyewe inabidi aongezeke kama kiungo pale katikati genk kule anasubiri kutengenezewa tu muda wote na pasianazipata sasa wewe unataka kufananisha mpira wa Ulaya na Afrika? mpira wa ulaya akili nyingi Africa tunakamiana mtu hadi uivuke safu ya ulinzi umefanya kazi... Mi nashangaa Egypt hawamlaumu sallah wakati kiwango anachocheza sallah egypt si kama kile cha liverpool lakini wanaelewa ila huku mbongo mmoja asiye na simile anamwaga tu maneno ya hovyo kama anatoa posho taifa stars kumbe hamna kitu
Samatta hana la kupoteza ndio maana akija timu ya taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi taifa stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake, mtu ligi kubwa anafunga magoli, UEFA hadi Liverpool anafunga ila mechi ya timu ya taifa anafunga penati tu, hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata hajibu.
Kwahiyo kama inaendeshwa kwa kodi ndo mfanye iwe sehemu ya majaribio leo acheze huyu kesho yule? kocha ana mipango yake ila kama samatta anaona hii comment yangu namshauri ajiachie tu akapambane zake ulayaKuwa mtu mzima mkuu. Timu inaendeshwa kwa kodi zetu.
utakuwa mgonjwa ww bahati ya kupiga goli34 kwa msimu hiyo ni bahati ya aina gani? wewe ukipata bahati ya cross kama ile ya genk vs liverpool unaweza kupiga kichwa kama kile? hebu ongea hoja za msingi kama unamchukia tafuta sababu nyingine ila siyo hii ya kubahatishaMbwana hata genk huwa ni bahati tu inamuangukia ya kufunga. Lkn huwa sioni km ni mchezaji wa kiwango kikubwa km tunavyoaminishwa!! Mbwana hawezi kucheza England hata division 1. Hakuna timu ya England inayoweza kumnunua!!
Yaani ulitaka walaumu tukishinda? Duh!Ona hawa nao... timu ikishinda hakuna lawama ikifanya vibaya basi samatta anabeba lawama zote... hebu acheni kumsimanga jamaa gem ya leo kaharibu refa na kessy sijaona kosa la samatta
amezingua kwa lipi hasa? washambuliaji walikiwa ditram na msuva yeye amecheza kama kiungo kati ya viungo na washambuliaji kazi yake hajaifanya?Lakini Kwa mechi ya Jana,aisee Samatta alizingua kiukweli kabisaaa,tuache kupepesa macho
Si Kwa ukamilifu ukilinganisha na kina alilo nalo na umuhimu wa mechi yenyewe. Alikuwa anapoteza mpira kiurahisi saana na hata kujituma kwake hakukulingana na thamani yake na hata thamani ya nchi yake.amezingua kwa lipi hasa? washambuliaji walikiwa ditram na msuva yeye amecheza kama kiungo kati ya viungo na washambuliaji kazi yake hajaifanya?
Kiukweli hata Mimi nakubali saana juhudi zake hata kufikia hapo alipo,ila kwa mwendo anaokwenda nao timu ya taifa...hapanaNamuhusudu sana ila kwa mwelekeo wake kama Captain kwa sasa, nampa mechi ijayo ya mwsho vingenevyo natoa shillingi sijaona jipya wala juhudi ya dhati hadii sasa
Samatta hana la kupoteza ndio maana akija timu ya Taifa hajitumi anacheza hovyo tu kuogopa majeruhi.
Kuna mechi Taifa Stars walishinda bila yeye asituletee u-star wake, mtu ligi kubwa anafunga magoli, UEFA hadi Liverpool anafunga ila mechi ya timu ya Taifa anafunga penati tu, hata nusu ya Msuva hafikii hiyo namba 10 apewe hata hajibu.
Samatta tatizo lake anajiona mzungu.. anazingua sana.... nadhani jambo la kwanza asiwe captain.. kwa sababu captain gani analeta mizaha kwenye mambo serious?
Bora Messi ambaye ni top score wa Argentina ila bahati ya kombe Hana kuliko samatta kufunga tu anashindwa.Samata Kama Messi tu
Kawambie Messi ,Ronaldo ,Mane,Salah hawana msaada team zao za Taifa ,wanavyocheza kwenye vilabu tofauti na team zao za taifa.Sasa kama amefanikiwa, akae pembeni awaache wenzake wanaotafuta mafanikio sio kucheza yekeyeke