Maoni: Soko la silaha la Marekani kupanda maradufu

Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA , tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao . Na soko la wa Russia litakufa kabisa . Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
... that's obvious! Ni mjinga tu atajaribu kulinganisha ubora wa US-/Europe-made na ule wa Russian-made in any aspect. AK47 sijui imeishia wapi kwenye huu mtanange. Kuna na yale ma S-300 na S-400 hayajasikika sana including Su-XYZ! Badala yake tumesikia the hand-held Javelin na kaka yake HIMARS zikimtia mtu mzima aibu!
 
Lockheed Martin wanachekelea Meno yote nje .
Huwa tunawaambia hapa achana kabisa na hili Taifa linaloitwa United States of America , these guys thinks a hundred years ahead and everything that they do , has been meticulously calculated .
 
... Korea, Japan, Taiwan, UAE, Saudi Arabia, Oman, India, et. al. wanaenda kuchukua mzigo wa kutosha kabisa. Wamarekani wameshindikana.
 
... that's obvious! Ni mjinga tu atajaribu kulinganisha ubora wa US-/Europe-made na ule wa Russian-made in any aspect. AK47 sijui imeishia wapi kwenye huu mtanange. Kuna na yale ma S-300 na S-400 hayajasikika sana including Su-XYZ! Badala yake tumesikia the hand-held Javelin na kaka yake HIMARS zikimtia mtu mzima aibu!
Kosa kubwa walilofanya Russia toka vita inaanza ni vitu viwili vikubwa
1.Poor logistics (Russia is heavily depend on railway networks for supplies,Ila sasa reilway bridges nyingi Ukraine walishazivunja ili ku destrupt russia logistics system)
2.Failure to dominate Ukraine airspace (Russia walitakiwa ku dominate airspace mwanzo kabisa kable Ukraine hawajapata air defences kutoka NATO.
Haya makosa 2 yatawatafuna warusi siku zote za hii vita.
 
... plus poor intelligence! Hayo yote walitakiwa wayajue kabla ya kuingia kichwa kichwa!
 
Kuna mambo hapa watu wanaongea kama vile wapo vijiwe vya Tandale kwa tumbo.

Ni silaha zipi za Urusi zimeonesha udhaifu na zipi zimeonesha zipo imara. Upande wa US zipi zimeonesha mafanikio zipi ni dhaifu.

Kuna wanataka Russia iichukue Ukraine yote. Wakati huo sio mpango wa Putin. Wala Russia is not after regime change maana kama hiyo ingekuwa motive wangepiga Kiev kila siku mpaka jamaa atoke.

Lakini pia kuna alot of misinformation hasa ukiangalia BBC na other western media utasikia kila siku Kiev forces is winning big lakini nenda kwa map ya vita utaona kila mwezi Russia anasogea km deep ndani ya ukraine.

Kwenye hii mada tunaambiwa US anauza salaha nyingi kutokana na hii vita. Weka statistics hapa tuone.

Ninachojua nchi nyingi za NATO zimetoa silaha kwa Kiev na lazima zirejeshwe mpya. Na hakuna namna wanaweza kununua kwa Urusi only from NATO members na hizo silaha ziwe approved.

Nje ya hapokwa sasa hakuna atakayenunu silaha Urusi kwa uwazi tena maana hatalazimika kulipa kwa kutumia SWIFT. Badala yakeni MIR ambapo ni kimya kimya.

Hivyo mleta mada we hapa statistics tuone sio maneno maneno tu
 
... that's obvious! Ni mjinga tu atajaribu kulinganisha ubora wa US-/Europe-made na ule wa Russian-made in any aspect. AK47 sijui imeishia wapi kwenye huu mtanange. Kuna na yale ma S-300 na S-400 hayajasikika sana including Su-XYZ! Badala yake tumesikia the hand-held Javelin na kaka yake HIMARS zikimtia mtu mzima aibu!
A47 haikuwa bora saana kiasi kwamba hakuna silaha zaidi yake ila tu ilikuwa cheap ndo maana nchi masikini wanazitumia sana.
 
Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao.

Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
Silaha zinazotumika Ukraine nyingi ni za Israel ,ndo zinafuatia za USA na Nchi zingine. Soma bandiko hapa chini
 
Attachments

  • 7E8CC472-02CE-4EC3-A106-BCEC2DC49103.png
    7E8CC472-02CE-4EC3-A106-BCEC2DC49103.png
    262.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom