HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Afu wanajeshi wa mwanzo wengi walifika Kyiv ila hawapo duniani tenaHata wanajeshi wa Urusi hasa wale waliokuwa Belarus walikuwa hawajui kwamba wataingia vitani,walijua wanafanya mazoezi kisha warudi Russia,ila wakaambiwa wama match waingie Ukraine,hii imepunguza morali sana.