Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
... that's obvious! Ni mjinga tu atajaribu kulinganisha ubora wa US-/Europe-made na ule wa Russian-made in any aspect. AK47 sijui imeishia wapi kwenye huu mtanange. Kuna na yale ma S-300 na S-400 hayajasikika sana including Su-XYZ! Badala yake tumesikia the hand-held Javelin na kaka yake HIMARS zikimtia mtu mzima aibu!Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA , tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao . Na soko la wa Russia litakufa kabisa . Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
Mbona tayar keshateka soko mkuuKutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA , tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao . Na soko la wa Russia litakufa kabisa . Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
Lockheed Martin wanachekelea Meno yote nje .Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA , tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao . Na soko la wa Russia litakufa kabisa . Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
... Korea, Japan, Taiwan, UAE, Saudi Arabia, Oman, India, et. al. wanaenda kuchukua mzigo wa kutosha kabisa. Wamarekani wameshindikana.Lockheed Martin wanachekelea Meno yote nje .
Huwa tunawaambia hapa achana kabisa na hili Taifa linaloitwa United States of America , these guys thinks a hundred years ahead and everything that they do , has been meticulously calculated .
Kosa kubwa walilofanya Russia toka vita inaanza ni vitu viwili vikubwa... that's obvious! Ni mjinga tu atajaribu kulinganisha ubora wa US-/Europe-made na ule wa Russian-made in any aspect. AK47 sijui imeishia wapi kwenye huu mtanange. Kuna na yale ma S-300 na S-400 hayajasikika sana including Su-XYZ! Badala yake tumesikia the hand-held Javelin na kaka yake HIMARS zikimtia mtu mzima aibu!
... plus poor intelligence! Hayo yote walitakiwa wayajue kabla ya kuingia kichwa kichwa!Kosa kubwa walilofanya Russia toka vita inaanza ni vitu viwili vikubwa
1.Poor logistics (Russia is heavily depend on railway networks for supplies,Ila sasa reilway bridges nyingi Ukraine walishazivunja ili ku destrupt russia logistics system)
2.Failure to dominate Ukraine airspace (Russia walitakiwa ku dominate airspace mwanzo kabisa kable Ukraine hawajapata air defences kutoka NATO.
Haya makosa 2 yatawatafuna warusi siku zote za hii vita.
Hata wanajeshi wa Urusi hasa wale waliokuwa Belarus walikuwa hawajui kwamba wataingia vitani,walijua wanafanya mazoezi kisha warudi Russia,ila wakaambiwa wama match waingie Ukraine,hii imepunguza morali sana.... plus poor intelligence! Hayo yote walitakiwa wayajue kabla ya kuingia kichwa kichwa!
Watu mnashibikia vita as if ni kitu kizuri
Watu mnashibikia vita as if ni kitu kizuri
A47 haikuwa bora saana kiasi kwamba hakuna silaha zaidi yake ila tu ilikuwa cheap ndo maana nchi masikini wanazitumia sana.... that's obvious! Ni mjinga tu atajaribu kulinganisha ubora wa US-/Europe-made na ule wa Russian-made in any aspect. AK47 sijui imeishia wapi kwenye huu mtanange. Kuna na yale ma S-300 na S-400 hayajasikika sana including Su-XYZ! Badala yake tumesikia the hand-held Javelin na kaka yake HIMARS zikimtia mtu mzima aibu!
Na hiki ndicho kinachomuumiza Putin kuliko Ukreni yenyewe.Hilo liko wazi sana,soko la silaha la urusi linaenda kufa kifo Cha mende
Watanzania wanapenda vita Sana ,ni wakati vita Kagera Rejea rasmi, tz tununue Himars tuwe Kama UkrainWatu mnashibikia vita as if ni kitu kizuri
Silaha zinazotumika Ukraine nyingi ni za Israel ,ndo zinafuatia za USA na Nchi zingine. Soma bandiko hapa chiniKutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao.
Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.