Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

Hata sijaelewa

Sisi tunachotaka ni umeme kwa sababu tunatoa hela ili kuutumia, hatupewi Bure, Sasa unapoanza kusema tatizo ni hela nakuwa sikuelewi

Tatizo hapo ni viongozi wa hovyo na wasiojali
 
Ungejua huko jeshini yamejaa majizi ya kutosha!
 
Haingii, bajeti ya jeshi na matumizi yake havihojiwi kirahisi rahisi kama unavyofiri
-Anaingia vizuri tu, kasome hadi ripoti za PPRA wameshakagua manunuzi ya Ngome (Jeshi), na CAG pia anakagua tena wizara ya ulinzi ni Fungu namba 57, ngome ni Fungu 38, Fungu 39 ni JKT
- Sehemu ambayo ni Siri zaidi kuliko zone ni IKULU, na TISS huko huwezi kukuta hata page 1 kwenye ripoti ya CAG
 
We ndo muafrica halisi unatumia nguvu kwenye kazi za kutumia akili mwisho wa siku unavunjika shingo
 
Another rubbish thread...

Tatizo la" Embecilaziation of a nation " linajitokeza waziwazi hapa...
Kwamba kila tatizo itumike nyundo kushughulika nalo..

Kama inabidi acha itumike tu ilimradi tupate matokeo chanya.
 
Viongozi wasimamiwe na jeshi iwe hakuna kulala.
 
Jiandaeni kupandishiwa bei ya Umeme mara tu utakapoisha mgawo huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…