uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Mafisadi yatakula wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sijaelewaUjinga ni Mzigo, Akili za Mwendazake izo Kupeleka mpaka Jeshi letu kwenda Kubangua Korosho matokeo yake wote tuliyaona,
Changamoto za Umeme hazipo tanzania tu tuelewe ilo South africa ambae ana total capacity ya 48000MW ana Blackout na Load shedding ambazo zilipelekea mpaka Rais Kuataka kuondolewa ofisini, South wameunda wizara ya Umeme na Kusafisha top layer ya management ya Escom ila still tatizo bado lina persist,
Afu inatakiwa Mjue kuwa Inshu za Umeme ni mambo ya Budget tu Miundo mbinu yetu ni Chakavu sana ivo hapo Mchawi mkubwa ni pesa ila pia msishau Viwanda na Inverstors wamerudi kwa Kasi ambao kipindi cha Mwendazake kipaumbele havikuwa Viwanda na Mostly wali halt their operations ila kwa sasa demand zao ziko Juu na Kuleta scarcity ya Power kwa domestic users ambao ndio wananchi hao au Aka Wanyonge
Hoja ilikuwa ni je anaingia au haingii?Hata aingie kama Hakuna hatua inachukuliwa what difference does it make?
Business as usual
Haingii, bajeti ya jeshi na matumizi yake havihojiwi kirahisi rahisi kama unavyofiriHoja ilikuwa ni je anaingia au haingii?
- hata huko kwingine ni business as usual
Samia si amiri jeshi mkuu? Kwahiyo jeshi linahusika na uongozi wa TanescoItakua afadhali mitambo ikizingua wapige risasi
-Anaingia vizuri tu, kasome hadi ripoti za PPRA wameshakagua manunuzi ya Ngome (Jeshi), na CAG pia anakagua tena wizara ya ulinzi ni Fungu namba 57, ngome ni Fungu 38, Fungu 39 ni JKTHaingii, bajeti ya jeshi na matumizi yake havihojiwi kirahisi rahisi kama unavyofiri
Another rubbish thread...
Tatizo la" Embecilaziation of a nation " linajitokeza waziwazi hapa...
Kwamba kila tatizo itumike nyundo kushughulika nalo..
Viongozi wasimamiwe na jeshi iwe hakuna kulala.Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.
Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.
Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
Tafsiri kwa kifaransa ueleweke, hapo ni ili au hili?Ili jambo ni serious.