Akae huko huko DarBado mnataka one man show🙉🙉! Urais ni taasisi ndo maana kuna wakuu wa mikoa, RAS, DC, DAS, DED etc wote wapo kutatua kero zote!
Kama hawawasikilizi semeni watumbuliwe wachaguliwe wengine wanaoweza kumuwakilisha vyema Rais!
Uongozi ni Team Work! Ukimuona kiongozi ambaye yeye ndo kila kitu huyo siyo kiongozi! Kiongozi anatengene Teamwork ambayo hata kama hayupo bado mambo yanaenda kama yanavyotakiwa kuwa!
Hazijamalizwa tu na mwendazake?kero zetu kwako ni zingi sana ,angalau utapata kufunguka macho na akili ukija kutujuvya hali zetu.
Kama CCM wana serikali yote na wabunge wote ni CCM na bado mnasema mko na kero nyingi sana basi tuko na UJINGA fulani, maana waliokuwa wanatukwamisha na kutuchelewesha ni Wapinzani.....Tushachoka kukuona kwenye magazeti na Tv,ukishamaliza teuzi ,fanya hima upitia na huku mikoani yote kwa sasa ni mitaa yako, ufike tujuane tusalimiane ujue shida zetu tujue zako ,maisha yaendelee.
kero zetu kwako ni zingi sana ,angalau utapata kufunguka macho na akili ukija kutujuvya hali zetu.
TANESCO kumeoza mkuu huduma ni mbovu vibaya sn poor customer careNiwasalimu kwa Jina la JAMHURI.
Naomba nianze mapema pasipo kupoteza muda,
Tatizo la Umeme linaanza kushika hatamu taratibu kabisa Rais Mtukufu yupo kimya watendaji husika wapo kimya nikimaanisha waziri pamoj na wizara nzima pia mkurugenzi wa shirika la Tanesco.
Saivi kukata umeme weekend imeanza kurudi ka zamani kukatika siku za kawaida nayo imerudi.
Mama samia kua makini hii kero tulianza kuisahau vile lakini naona kama inarudi hivi usipoangalia hili litakua shirika namba moja kukutia dosari naamini we ni msikivu sana nahisi ushaliona tunaomba ulifanyie ufumbuzi mapema watanzania tuendelee kujenga uchumi wetu wa kati.
FINITO
Kuunganishwa umeme huku kaskazini sasahivi imekuwa ni hisani na siyo huduma ya msingi hata kama umelipia control number zaidi ya mwezi, kuomba kuunganishwa napo utazungushwa mpaka utoe rushwa. Kwa kifupi TANESCO kumeoza kabisa poor customer care