Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Hakika mkuu wangu !Ninampenda Rais wangu kwa sababu ya mambo mengi ameifungua nchi kimataifa,ameendeleeza miradi mingi iliyoachwa na Magufuli hakika Samia apewe mitano tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu wangu !Ninampenda Rais wangu kwa sababu ya mambo mengi ameifungua nchi kimataifa,ameendeleeza miradi mingi iliyoachwa na Magufuli hakika Samia apewe mitano tena
Ungesema hivi tu ingetosha she is zero brain of job creativity to the youth, yeye akili yake inawaza mitungi ya gesi, kuchekacheka, kudhamini mangumi, kulipia magoli ligi kuu, ila kutengeneza ajira kwa vijana aahaSimpendi kwa vile hana ubunifu wa kutengeneza ajira
Sa100% hapendwi na kundi la walioamini ktk uwajibikaji na uzalendo, hasa kundi linaloamini Tanganyika siyo masikini bali ni tajiri wa resources etc. Hilo kundi linamchukia sana na hilo ndilo kundi kubwa. Hapo ana kazi ngumu kuwashawishi hilo kundi wamuelewe kuwa nchi yetu ni maskini yaani atumie kauli yake ya kuwa nchi yetu ni maskini inahitaji mikopo. Mi binafsi nampenda kwa sababu bora yeye ninayejua anamchukia na hakuwahi kumpenda Dkt Magufuli na chuki yake huwa anaionesha moja kwa moja bora aendelee na urais kuliko aje mwingine wa kimdharau Dkt Samia na kujifanya ka Dkt Magufuli wakati huo huo anataka kuwa kama mkali. Nadhani Sa100 aendelee tu.Hakuna ubishi. Kila binadamu ana pande mbili. Anapendwa na kuchukiwa. Ana furahisha na kuudhi. Ana ubora na udhaifu. Anavutia na wakati mwingine kuudhi. Je kama utaulizwa ni kwanini unampenda au kutompenda rais Sa100 nini zitakuwa sababu? Je unapenda au kumponda na kwanini?
Huko tutokako bandari iliuzwa ili ituingizie trilioni 22 tu kwa miaka yote 22 ya uwekezaji wa TICTS ?!!Simpendi kwa vile hana ubunifu wa kutengeneza ajira hata za muda kwa kuajiri watu waliosoma kwenye tume ya uchaguzi, fisadi na muuza bandari na ngorongoro
Hana uwezo wa kukuingizia taifa, chini ya uongozi wake majeshi yetu yanadhalilishwa Congo na Rwanda. Ameshindwa kumaliza tatizo la watu kutekwa, kuumizwa, kuuawa na vyombo vya ulinzi na Usalama.Hakuna ubishi. Kila binadamu ana pande mbili. Anapendwa na kuchukiwa. Ana furahisha na kuudhi. Ana ubora na udhaifu. Anavutia na wakati mwingine kuudhi. Je kama utaulizwa ni kwanini unampenda au kutompenda rais Sa100 nini zitakuwa sababu? Je unapenda au kumponda na kwanini?
Mama Samia simpendi kwa kutothamini rasilimali za nchi na kuwagawia wageni bila kujali maslahi ya nchi! Adan Group ni kampuni ya kihindi ambayo nchi nyingi ikiwemo Kenya wamesitisha mikataba nayo ya uwekezaji kwasababu ya kuhusika na rushwa lakini Samia ndio kwanza anawakumbatia na kuingia nao mikataba ya hovyo kuwekeza nchini!Amefeli sana, anafanya siasa za uoga, hajiamini, anataka kupendwa na kila mtu