Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hatujafanya uchaguzi bali tumepata mrithi wa aliyeshinda uchaguzi 2020.
Ndio awamu hiyo ndugu

Hata ikatokea bahati mbaya jeshi likafanya chochote nayo pia itakua awamu bila uchaguzi
 
Ndio awamu hiyo ndugu

Hata ikatokea bahati mbaya jeshi likafanya chochote nayo pia itakua awamu bila uchaguzi
Usichanganye mambo.

Mapinduzi ya kijeshi na Rais kufariki akiwa madarakani ni vitu viwili tofauti kabisa.

Samia kapatikana baada ya Magufuli kufariki na yeye kushika nafasi yake kwa mujibu wa katiba.

Hivyo anaendeleza pale mwenzake alipoachia.
 
Kwahiyo wasukuma sio watanzania?
Walijiaminisha kuwa wao ni levo ya juu ya binadamu na wazalendo wa kwanza kuliko kabila lolote Tanzania na kwamba bila wao Tanzania haiwezi kwenda ndiyo maana asilimia kubwa yao wanamwona mama kama msaliti wa mwendazake.
 
Una ushahidi wa hayo uliyoandika?
Je sababu hizo pekee ndio zinazokufanya uamini kuwa wasukuma awastahili kuwa watanzania?
 
Mama endelea kuifungua nchi!
Watu wamepoteana awamu huku.
Tunaelekea awamu ya 7
 
Una ushahidi wa hayo uliyoandika?
Je sababu hizo pekee ndio zinazokufanya uamini kuwa wasukuma awastahili kuwa watanzania?
Watu wa visasi na chuki wakaaminisha umma kuwa Tanzania bila Chadema tungekuwa mbali sana maana Chadema imetuchezea sana,imechelewesha maendeleo na Chadema ni chama cha Wachaga pumbavu kabisa hawa watu.
 
Kinachokusumbua wewe ni ukabila,punguza ukabila kaka uwe huru😅
 
Pole.
 
Pole wewe uliyeshindwa kutetea hoja zako kwa ushahidi matokeo yake umeamua kuhamia kwenye taarabu😂
 
Pole wewe uliyeshindwa kutetea hoja zako kwa ushahidi matokeo yake umeamua kuhamia kwenye taarabu😂
Ukweli unasemwa kwa njia ya ngojera,methali,nahau,muziki,taarabu,ngoma,magazeti na mitandao ya kijamii.Maana Wasukuma walikosa ustaarabu kwa ajili ya mtu mmoja muuaji,wakaona anachofanya ni halali na haki Tanzania,lakini wakasahau kuwa siku ya mwisho kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
 
Ndio njia nyepesi ya kuelewa, usitumie akili kubwa kutafsiri vitu vidogo, katika kila tawala ipo law of nature inayoongoza kila tunachokiona na kukipitia, ni dhambi na haimpendezi Mungu kufananisha mambo kulingana na muda, mwaka, siku na muktadha uliopo, kipindi cha nabii ISSA na cha MTUME MOHAMEDI havishabihiani na havitalingana, jamii hii ya leo inataka matokeo tu bila kujali walihusikaje katika kuyaleta haya matokeo yanayowapendeza.

Umepita mwaka mmoja toka RAISI SAMIA ashike madaraka makubwa ya kuongoza nchi tena kwa mstuko na huzuni kuu baada ya kumpoteza boss wake, mambo lazima yabadilike na itahitaji muda, hii ni law of nature na bahati nzuri RAISI SAMIA anacomply faster na tumeanza kuona mabadiliko chanya.ushajiuliza hivi wewe ukiwa RAISI hakuna watakaokuchallenge? Watanzania tumpe muda RAISI hata wale wa boot in street hawakuweza kipindi kile.

Mwisho nimtie moyo RAISI, nafasi yake haikuja kwa bahati mbaya ila ni mipango ya Mungu na atafanikiwa.

(IF YOU HAVE FEW BULLETS WAIT FOR CLEAR SHOTS).

KOTAPINI
 
Kumuabudu? Wa kuabudiwa ni Mungu tu,
Neno kaa= mdudu wa majini ana mikono kama mkasi, au kaa chini? Usinipige,usinipige,usinipige, tafsiri yako kichwani ndio inatuelezea wewe ni nani na kwa nini, kaxi yangu ni kusema tu, sikupingi,
 
Hata mie sijui mlipwa tsh ngapi!?, kwani siamini kama nyie ni wajinga kiasi cha kutokujua ukweli wenyewe ukoje?, mie nafikiri mnajaribu kutakitisha kaniki ili iwe nyeupe,
 
Sithole usiwaze pesa pesa pesa, na sisi siyo wajinga, wewe ukweli upi unaujua?
Acha kubwabwaja sema point zako zijadiliwe hapa peupe, personal attack ni ishara ya udhaifu (leteni zaka kamili gharani mwa Bwana) malaki3:10) let hoja kamili siyo hv visasili)
 
UVCCM TAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na makamu wa Rais wa Jamuhri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr Philip Mpango katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam wakati akielekea nchini Marekani kwa ziara ya kikazi leo tarehe 13 Aprili 2022.

#AlipomamaVijanaTupo
#ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…