Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Utakuwa na taasisi zenye nguvu ya kusimamia matumizi mabaya ya mali za Taiafa. Bunge litahakikisha linatunga sheria kulinda maslahi ya nchi kutokana na wabunge hao kuchaguliwa bila mizengwe.

Mahakama pia hazitatawaliwa na kupokea rushwa hivyo hukumu zitatolewa kwa haki. Nchi yenye haki hakuna fujo hivyo kutakuwa na uwekezaji na maendeleo yatapatikana kwani kila mtu atafanya kazi zake kwa amani na kujituma!!
 
Watanzania ni hao hao katiba ita wabadilisha vipi?
 
Kenya na SA wanasifiwa kuwa na katiba nzuri za kisasa, lakini hazijawasaidia kuwazuia wapigaji kufanya ufisadi. Tafakari!
 
Aisee, kumbe katiba itatupatia robots, nchi gan walibadili katiba uchumi ukapanda.?
 
Watanzania ni hao hao katiba ita wabadilisha vipi?
WaTanzania ni binadamu kama binadamu wengine hivyo nao Huba dilika kadri Mazingira yanavyobadilika!
Angalia jirani zetu Kenya walivyo badirika toka wapate Katiba mpya!!
 
Kenya na SA wanasifiwa kuwa na katiba nzuri za kisasa, lakini hazijawasaidia kuwazuia wapigaji kufanya ufisadi. Tafakari!
Wanafanya upigaji lakini sio ule wa kiwango cha State Capture ya wakina GUPTA kule South Afrika na ule wa Kamlesh Pattni na GOLDENBERG kule Kenya!! Ukiwa na Katiba kama ile ya Warioba utapunguza sana matumizi mabaya ya mali za nchi lakini sio kana Kwamba utakomesha 100%.
 
Aisee, kumbe katiba itatupatia robots, nchi gan walibadili katiba uchumi ukapanda.?

Ndugu yangu ukiwa na katiba inayokubalika utakuwa na amani nchini hivyo watu watakuja kuwekeza na technology [ROBOTS] kupatikana hivyo nchi kupata maendeleo kwa uchumi wake kupanda!
 
Ndugu yangu ukiwa na katiba inayokubalika utakuwa na amani nchini hivyo watu watakuja kuwekeza na technology [ROBOTS] kupatikana hivyo nchi kupata maendeleo kwa uchumi wake kupanda!
Nchi gani. ? Nipe mfano
 
Nchi gani. ? Nipe mfano

Jishuhulishe usipende kulishwa kila kitu!! Tafuta nchi zilizopata maendeleo zaidi ya Tanzania lakini mwaka 1961 zilikuwa at the same level of development! Find out what was the secret to their development.

Zilikuwa THIRD WORLD mwaka 1961 kama Tanzania na hivi Sasa wakati Tanzania bado iko kule ilikokuwa wenziwe siku nyingi wameishafika FIRST WORLD!!!
 
Hatujamuelewa kabisa
 
Bora hayati magufuli hakika
 
Mama we love you but make sure Sabaya anahukimiwa miaka themanini ili Jambo litakuwa Safi Sana kuliko hata katiba Mpya pia Bashiru kakulwa mrudishe chuoni Aje Afundishe siasa ubunge mnyanganye umpe hata Baba Levo au H-baba

Pia Polepole aendelee kukaa tu huko Nje Ni hayo tu .

Pia Mama wajinga wajinga km ndugu Ndugai dili nao kisawa sawa
 
Rais Samia Suluhu Hasan hawezi kuzuiwa na Sabaya au Bashiru kushinda 2025
Yapo mengi makubwa anawafanyia watanzania na atakayowafanyia watanzania yatakayompa ushindi
 
Rais Samia Suluhu Hasan hawezi kuzuiwa na Sabaya au Bashiru kushinda 2025
Yapo mengi makubwa anawafanyia watanzania na atakayowafanyia watanzania yatakayompa ushindi
Ni kweli, kushinda atashinda tu, nadhani kinachotafutwa ni asilimia ya ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…