Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Mkuu, huko juu kuna mfumo uliowekwa na bepari kwaajili ta kumgandamiza masikini.
Pia kuna kitu hua inakua kisingizio kikubwa kwajina la budget haitoshi
TANZANIA yangu ina hela sema tatizo ni ukusanyaji na Wasakata tonge ni wengi saana
 
Mkuu mkataba ungembanaa kama akiondoka basi atalipa kodi yote ya miaka 4 ailyoka na faini kubwa sanaa
 
Sijaona KATIBA MPYA!
 
Mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan pokea pongezi nyingi kwa kuijali elimu ya nchi yetu.

Hii ni kutokana na serikali yako kuanza kuwajali walimu na miundo mbinu ya madarasa, meza na viti Ninajua wapo watakaokubeza na kukukejeli lakini wewe jipe moyo na songa mbele.

Ushauri wangu ni kuwa Mhe Rais ongeza tu umakini wa monitoring and control kwa wasaidizi wako waliopo TAMISEMI na WIZARA ya ELIMU iii wasitumie nia yako njema kwa manufaa yao binafisi.
 
Acheni ujinga na ushamba. Samia siyo daktari au unamlinganisha na limbukeni Njaa Kaya aliyejisifia udaktari wa kupewa hata masters hana?
 
Kazi ipo kabisa
 
Ndugu zangu watanzania,trt g ac
Yeye mwenyewe juzi kasema uchumi haukushuka sababu ya shujaa Magufuli kutokufungan nchi kipindi cha corona wewe kilaza unaleta upuuzi wako hapa tafuta uzi wa mama D upo humu

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…