Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Nchi hii ni yetu sote ni kasoro kubwa sana kuwaachia viongozi watufanyie kila kitu wakati nasi tunawajibu mkubwa sana kuhakikisha tunasimamia na kufichua maovu mbalimbali lakini hali halisi ni kinyume chake.
Tukemee maovu kwa mamoja,tufichue ubadhilifu na udhalimu.
 
Aiseee nimechekaa sanaaa wakuu leo 😂😂😂😂watu mnahasiraa sanaa 😀
Hiyo ndio furaha na raha waliyonayo Watu chini ya uongozi shupavu na madhubuti ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.watu wapo huru kuzungumza watakayo bila hofu.Rais wetu ameachia uhuru mkubwa sana.
 
Sema ameishikilia furaha yako. Unaongea kuhusu watanzania wewe kama nani? leteni polls ndio mtajua maoni ya watanzania yakoje.
Uchaguzi ni Mwakani na Jemedari wetu hodari Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kupita na kushinda Uchaguzi kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 

Rais Samia ndiye ameshikilia furaha ya watanzania​

Kwa mfano Hawa wana furaha gani?!
 
"Wafu" unamaanisha watanzania mliopewa furaha na jemedari kipenzi chenu!!???
 
Nikipigwa ban inanipunguzia nini na wewe unanufaikaje?
Inapunguza mimatusi yako na kujenga heshima ya jukwaa.maana mimatusi yako inakuwa haipendezi kwa watu wenye heshima na kujiheshimu.kumbuka ya kuwa jukwaa hili linatembelewa na watu wenye hadhi na heshima.kwa hiyo mimatusi yako inakuwa ni kushusha heshima ya jukwaa letu
 
Lucas angalia unapoenda unaenda kukufuru hivi ni lini utakua na akili wewe kwenye uchaws pia haumo wewe ni bung'o wewe
 
Acha upuzi basi Luka
Duh, hii ss imezidi
I
 
Sijatukana mtu ila watu wapuuzi kama wewe nawapiga makwenzi maana ndiyo mnashusha hadhi ya JF kwa mada zenu za kifala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…