Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Asante sana mama Samia kwa kuhakikisha waliotenda kitendo Cha ufedhuli wamefikishwa mahakamani huku Madame RPC akiwekwa benchi. Mitano tena kwa mama
 
Kaka Lucas ngoja nikwambie kitu leo. Raisi ni mtumishi kama wengine katika Serikali. Ila yeye ndiyo kiongozi wao, sisi wananchi ndiyo tunamuweka yeye pale. Sema ni umasikini wa dunia ya tatu, kuona Raisi ndiyo kila kitu, ndiyo kuna nyinyi kila leo kusifia. Mambo hayaendi hivyo, kila anachofanya si hisani, ndiyo kazi iliyomuweka pale.

Akishindwa fanya hivyo, tungekuwa na uchaguzi huru na haki. Watu wanamtoa kwenye box la kura. Hapo ndiyo uone Wananchi walivyo na nguvu kuliko viongozi. Bahati mbaya tuna ukosefu wa Elimu, tuna umasikini na ujinga wa kujitakia, ndiyo tuna watu kama nyinyi.
 
Umewahi kujiuliza kwanini kuna tuzo za mfanyakazi bora,mchezaji bora wa DUNIA na tuzo nyingine mbalimbali? Kwanini mchezaji apewe tuzo wakati ni wajibu wake na hachezi peke yake uwanjani? Kwanini mfanyakazi anapewa tuzo ya mfanyakazi bora wakati hafanyi kazi pekee yake na ni wajibu wake na analipwa Mishahara na marupurupu mengineyo? Ukipata jibu basi utakuwa umeelewa kwanini tunampongeza sana RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kufanya kazi vizuri zinazogusa maisha ya mamilioni ya watanzania
 
Umenena vema, maelezo mafupi lakini yaliyoshiba, ila kwa kilaza aina ya Lucas Mwashambwa hawezi kukuelewa.
 
Maelezo yako na alichosema Bantu Lady ni mbingu na ardhi, ni kuwa wewe ni slow learner au umejitoa akili kukwepa ukweli ulioelezwa.
 
Sijajua ulichoandika.

Lkn kwa kuongezea rais Samia ndiye anaeshikilia maumivu yote tunayopitia watz.

Musisahau hilo ktk uchawa wenu.

Ambao hamunufaiki nao zaidi ta akina bakhresa ambao huwasikii wakimsifia kila mwisho wa sentensi wakiwa wanaongea
 
Kwani ukisema mheshiwa Daktari hatuwezi kuelewa, hadi useme kipenzi
 
Malaya wa kisiasa tu wewe.
 
A
ARSE LICKER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…