Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

Hoja zako ni nzito na zote ni za msingi serekali itafakari upya, masai watakapozidi wanyama watakwenda Kenya, short and clear!, nina shaka hawa wanaharakati njaa huenda wanashikwa masikio na taasisi za jirani, wakifahamu nini kitatokea by future, kumbuka wale ni werevu kweli kichwani.
 
Kwao hiyo ni nature ni sehemu ya ikolojia
Kama wanazaliwa na kufa na wanyama wanazaliwa na kufa ndiyo balancing ilivyo
 
SHIDA BAADA YA MASAI KUONDOKA ANAKUJA NANI HAPO NA KUFANYA NINI?

We Hujajua watanzania wanagomba nini.
 
si wamepewa fidia hivyo hivyo hata kama hawastahili kujengewa nyumba ambazo hawajawahi kumiliki maisha yao yote kule msomela?
Siyo kwamba hawawezi kujenga nyumba nzuri, ile ni life style yao, inasemekana huko nyuma hawakuwa wanatumia kabisa dawa za hospitali, walikuwa na dawa zao tena nzuri kuliko za hospitali, ila wameingizwa kwenye ukisasa ndiyo maisha yanakuwa magumu
 
Masai waondoke na wasiruhusiwe kufanya shughuli yoyote kwenye hifadhi kama ambavyo watanzania wengine wasivyoruhusiwa kufanya shughuli za kibinadamu kwenye hifadhi.
 
Uchambuzi murua kabisa huu
 
Kiukweli hawa wamasai wameweka precedence mbaya sana kwa kuigomea serikali, ambayo itasambaa nchi nzima .

Kama rais anaweza kuifuta hifadhi na kufanya makazi, iweje ashindwe kufuta makazi na kuyafanya hifadhi?

 
Watanzania wakiongezeka sana mipaka ya nchi itameguka..acheni upuuzi,huwezi kujustfy ujinga kwa takwimu ulizochukua tandale kwenye magazeti ya kufungia kachori
 
huko kenya hakuna masai anaishi masai mara, iweje huku wanganganie kuishi na fisi na mbwa mwitu? hii ni dharau tu,
 
Watanzania wakiongezeka sana mipaka ya nchi itameguka..acheni upuuzi,huwezi kujustfy ujinga kwa takwimu ulizochukua tandale kwenye magazeti ya kufungia kachori
Kweli @horseshoes akili yako unaijua mwenyewe, wanyama wana maeneo tengefu, wanyama sio binadamu, 1-kuna makazi ya wanyama, 2-kuna makazi ya binadamu, tumeyatenga kama binadamu wenye akili, yetu sisi binadamu hatujayakalia hata 1/9.
 
umeanza vizuri kujenga hoja zako, hongera kwa hilo. Lakini unajaribu kutuaminisha Wamasai siyo watanzania ni wakenya hapa ndipo wasiwasi wangu unapoanzia. Tujengeni hoja zetu kwa namna yoyote ile lakini tusithubutu kuukana utanzania wao kwa kuhalisha hoja zetu
 
kama umeishi maeneo ya wamasai, kama umesoma na wamasai utagundua kuwa, wamasai akitaka kwenda kenya anaenda kama mkenya na akitaka kurudi tz anarudi kama mtz. nawafahamu wengi sana wamesoma hadi shule za msingi kenya. wapo, kama mnataka tuanze kuwataja majina hapa na wengine wafanyakazi serikalini huko, semeni suu.

sio kwamba wote ni wakenya, ila kuna kundi kubwa la masai waishio tanzania wamezaliwa kenya na wana maisha na ndugu kenya na wakifanya uhalifu tz huwa wanakimbilia kenya.a good number of them. na wanachoogopa wakienda msomela ni mbali na kenya na hawawezi kumove kirahisi to and from kenya kama ilivyo kwa ngorongoro.wengi tu wanachunga ng'ombe humo ni wakenya na wana ng'ombe za kikenya.

halafu kuna kauli moja aliitola Ole ngurumo kwamba "msiwaite wakenya kwasababu mnazidi kuwatia hasira", anamaanisha serikali imewashindwa wamasai? ni kwamba wamasai wana hasira sana serikali isiwaseme? hivi wanajua nchi hii kuna serikali? hatuishi kama wao maporini huko.
 
Watanzania wakiongezeka sana mipaka ya nchi itameguka..acheni upuuzi,huwezi kujustfy ujinga kwa takwimu ulizochukua tandale kwenye magazeti ya kufungia kachori
sasaivi tu hapo wapo zaidi ya 200,000 ndani ya mbuga, hivi kweli mnaotetea mna akili timamu? masai anaweza kuoa wake wowote apendao na kuwa na watoto hata zaidi ya 10 au 20. piga mahesabu miaka 20 ijayo kwa uzazi wa kimasai, kutakuwa na wanadamu wangapi ndani ya ngorongoro, na mbuga itakuwepo au itakufa kabisa kwa wanyama kukimbia? na watakimbilia kenya.
 
Kwao hiyo ni nature ni sehemu ya ikolojia
Kama wanazaliwa na kufa na wanyama wanazaliwa na kufa ndiyo balancing ilivyo
wanazika wapi, twende ngorongoro leo kanionyeshe eneo la makaburi kama utalikuta, na kuan watu zaidi ya 200,000 kama wanavyoonekana, wakizeeka hawafi, wakifa wanazikwa wapi? na watu wenyewe wanakeketa wamama kibao wanakufa wakati wa uzazi, wakifa wanazikwa wapi? au wanatelekeza mzoga fisi atajisevia?
 
Lucas Mwashambwa tupe kwa kina haya maendeleo ya kutisha kipindi hiki cha mama Samia. Video chini hapo zinajieleza.
.
Hawa wagogo wana vituko sana. Dodoma watu wameamuwa kutumia SGR, wenye mabasi sasa wanapakia mbuzi:
Your browser is not able to display this video.


Hongera sana mama Samia, unatisha.

Mbuzi wanazidi kuwa watamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…