bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Haya wanaosema magufuli aendelee kutawala miaka 20 mikono juu...........wanaosema asiendele kutawala mikono juu.....OK MIMI KAMA SPIKA NASEMA WALE WOTE WALIOSEMA AENDELEE KUTAWALA WAMESHINDA
Tutaingia mtaani tuandamane katiba ibadilishwe ili Magufuli aongeze miaka 10 mingine baada ya 2025
Uko sawa ila ikiwa wao 2 wameweza ongoza nchi bila mawaziri basi ni bora waongezewe majukumuwakurugenzi,wakuu wa majeshi wafanye kazi na makatibu wakuu tuwaondoe mawaziri na manaibu
bukoba boy, sijui mawazo haya umeyatoa wapi! Suala la muhula wa uongozi ni la kikatiba (constitutional tenure) na kulivunja tayari kunamuondoa kiongozi kwenye orodha ya viongozi bora wanaozingatia utawala wa kisheria.
Hakuna excuse yeyote ya kumbakisha madarakani kiongozi. Kiongozi mzuri siku zote huacha nyuma yake kopi ya mtu wa aina yake ili kuendeleza legacy yake.
Kiongozi hana haja ya kuongoza milele kama mtawala, miaka michache inamtosha kuzalisha watu wa aina yake through inspiration.
Ila wamarekani weusi watakwambia "term limits".Term limits are only possible when there are guidelines put in place to adhere to regardless of who is reigning.
bukoba boy, sijui mawazo haya umeyatoa wapi! Suala la muhula wa uongozi ni la kikatiba (constitutional tenure) na kulivunja tayari kunamuondoa kiongozi kwenye orodha ya viongozi bora wanaozingatia utawala wa kisheria.
Hakuna excuse yeyote ya kumbakisha madarakani kiongozi. Kiongozi mzuri siku zote huacha nyuma yake kopi ya mtu wa aina yake ili kuendeleza legacy yake.
Kiongozi hana haja ya kuongoza milele kama mtawala, miaka michache inamtosha kuzalisha watu wa aina yake through inspiration.
Maana kuna watu walijiita akina Sokoine kipidi cha mchakto wa ndani wa CCM. Na kwa tetesi Dr JPM anawafanyia uchunguzu kuhakikisha wateule wake hawana makando kando. Je wafuatao wakikosa U/Naibu waziri ni mafisadi?
Je watakuwa kweli mafisadi?
- Mwigulu (huyu alijiita ni mtakatifu a.k.a Sokoini)
- Kigwangala
- January
- Mwakyembe
- Sitta
- Wasira
- Saada Mkuya
- Lazaro
- .....
Sasa mnampa Raisi kazi zisizo muhusu, mtesema apite nyumba kwa nyumba kuangalia waume wanaochelewa kurudi nyumbani usiku.