NI LINI MH.RAIS DR.JPM ATATEUA BARAZA LA MAWAZIRI....Watz tushachoka kusikia waziri mkuu yupo wapi,kesho yupo wapi,tunataka tuone mawaziri wakipiga kazi
NI LINI MH.RAIS DR.JPM ATATEUA BARAZA LA MAWAZIRI....Watz tushachoka kusikia waziri mkuu yupo wapi,kesho yupo wapi,tunataka tuone mawaziri wakipiga kazi
Si kazi rahisi kama unavyodhani maana ndani ya ccm nayo kumpata mtu mzalendo, mwadilifu, mwajibikaji si kazi jepesi, inamlazimu Rais kutafakazi kwa kina.
Rais anakusudia kuondoa mfumo uliozoeleka wa uswahiba, hapa kazi tu lazima ateue mchapakazi ili aweza kwenda na slogan hiyo.
naomba niwaulize ukawa mnauwezo wa kuteua mawaziri kweli.
kila siku kwenye mitandao mawaziri bado.
hakuna katiba inamlazimisha rais kuteua mawaziri haraka.