Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viroba vya mchana ni hatari kwa afya yako!!Kuna wakati niliwaza saana kauli ya mhe.....kuwa moyo wake mmm hauko sawa endapo nchi haitaenda kwa Magufuli. Ni kwamba aliona km Nabii vile Watanzania wanavyokaribia kupoteza lulu? Maaana leo wanaobeza hata kuweka kijito cha kijifuriko hawatoshi, i.e wengi wameridhiiika na mwendo kasi wa JPM. Hongera mhe. kwa kutuletea Jembe uliona na wachache tunaelewa kauli yako.
Kwakutumia ganzi, kila jipu litatumbuliwa... Hakuna namna...
Magufuli kaanza kutumbua majipu Kwa kasi ya ajabu, ni jipu gani unaona kabisa halitumbuliki, au hatakaza mikono, na uso Wakati Wa kulitumbua?
Kila jipu litatumbuliwa tu hakuna namna...........!!!!!
BEN-AN na Uuzwaji wa Nyumba za serikali.
Ganzi ni katiba bora...aanzie hapo.Kwakutumia ganzi, kila jipu litatumbuliwa... Hakuna namna...
Zisizo na majina ilitakiwa aweke kwenye 'inverted commas' au "quotation marks", maana si kweli kwamba accounts hazina majina, ila ni majina yanayolindwa kwa nguvu zote, hayatakiwi kutajwa...itawezekanaje akaunti zisiwe na majina, kwani zimejifungua zenyewe?Hili hata Mungu hawezi. Kutaja akaunti zisizo na majina? Labda ataje kwa namba au?