Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mtoa hawezi mmoja pekee maana jipu laweza kumtokea yeyote pamoja na mtumbuaji
 
Hata atakayoshindwa mimi naona ni poa tu kwa haya machache mimi nimesuuzika sana tena naweza sema yatosha...
 
Nyumba za serikali walizogawana, hilo jipu akilitumbua kweli atakuwa bingwa wa kutumbua majipu vinginevyo ni ubinafsi uliotukuka
 
Huu Ni ushauri wangu kwa kasi yako ya kiuongozi Dr kimei atakufaa kwani Ni msomi aliyebobea katika masuala ya uchumi na fedha,mbunifu na mchapakazi anaweza kupanga mikakati uchumi WA nchi ukapaa.vilevile sio mwanasiasi ni mtendaji .
 
Kuna majipu mengine mpaka aende major theatre ndio yapasuliwe
 
Hafai kabisa huyo Kimei. Yeye ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa wafanyabiashara na taasisi za fedha kumhujumu Magufuli wakati wa kampeni. Kimei ni mkabila sana. Kimei aliona kuwa Lowasa ndiye Rais na akafanya kila jitihada kumhujumu Magufuli. Ilifikia hatua alichangisha kwa nguvu wafanyakazi wa CRDB fedha kwa ajili ya kampeni za Lowasa. Huyu mtu hafai kabisa na wala hastahili hata kufikiriwa
 
Leta CV yake na nini amefanya thus far katika nafasi alizowahi kushika.
 
Hafai kabisa huyo Kimei. Yeye ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa wafanyabiashara na taasisi za fedha kumhujumu Magufuli wakati wa kampeni. Kimei ni mkabila sana. Kimei aliona kuwa Lowasa ndiye Rais na akafanya kila jitihada kumhujumu Magufuli. Ilifikia hatua alichangisha kwa nguvu wafanyakazi wa CRDB fedha kwa ajili ya kampeni za Lowasa. Huyu mtu hafai kabisa na wala hastahili hata kufikiriwa

Na wale Wafanyabiashara waliochangia kampeni za CCM nao?uchaguzi ushaisha sasa kilichobaki ni kuunganisha nguvu kuijenga nchi yetu.Dr Kimei kumuunga mkono Lowassa hakumuondolei sifa ya kuhudumu kama Waziri,kama anakidhi vigezo na achaguliwe tu.Hata Marekani Obama alimchagua Hillary Clinton kama Secretary of States licha ya kwamba alikuwa hasimu wake mkubwa wa kisiasa. Pia aliwachagua Republicans watatu ktk cabinet yake,unfortunately we Africans have turned politics into hostility. I wish you could learn about the diversity accommodation and the role it plays in bolstering the organisation's activities in this modern day world we living in.
 
kimei hafai tena anatakiwa kuondoka crdb apishe watendaji wengine isitoshe sioni sababu ya kumpendekezea rais majina leo ni siku ya 27 bado hatujaona mapungufu yoyote kuhusu mawaziri kutochaguliwa naamini rais ana watu wenye uweledi mkubwa wa kufanya kazi
 
Bila shaka Dr kimei alichofanya CRDB kufanya Bank Giant hapa nchini na kutia jambajamba hata bank za kigeni hata kwenye kulipa mshahara Dr Kimei ni bonge la CEO akipewa nafasi Tutatoboa
 
Tusisahau kuwa CRDB ya Dr. Kimei ndiyo iliwezesha malipo ya Richmond baada ya benki nyingine kama NBC kukataa kwa kusikia harufu ya ufisadi kwenye ile transaction

Back
Top Bottom