Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU alie makini NA msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
KWA heshima NA utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
najua anajua ndalichako kupindisha pindisha maneno hawezi. Ila amlete uone kama Yule first class PhD atataka ujinga ujinga kama ule wa pale alipotolewa unavyoendelea. Kheri abaki na hawa Maji Mara moja kuliko kuleta mamaaa Joyce!! Wacha maneno ataleta figisu figusu kwenye elimu mpaka mambo yatakaa sawa.Hatutaki wabaguzi wa kiimani serkalini! Huyu mama alitolewa kwa sababu za kubagua wanafunzi wa kiislam kwenye usahihishaji mitihani ya taifa. Hatutaki,taifa limejaa wasomi wengi wenye weledi hatutaki wabaguzi.
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
siyo kweli uyu mama akukubali upuuzi wa kualibu elimu akaamua akae pembeni
Waislam tutajuta umesahau yale matokeo ya mtihani ule alitufanya mini?Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.
Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.
Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.
Kama kuna jamaa aliniambia ni Mburundi?
Another "Mujahidin" .Eti Waikristo wanaongezewa marks na NECTA. Ponda followers
Waislam tutajuta umesahau yale matokeo ya mtihani ule alitufanya mini?