Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Huyu mama alinifanyia mbaya 2012 lakini sijali daima namuona kuwa ndiye iron lady wa bongo hakunaga shujaa mpambanaji wa Elimu kama huyu!
Magufuli kama unasoma maoni hili jema lipokee!
watu wa karibu na magufuli mkamwambie kuwa wizara ya elimu inahitaji moyo wa chuma

Hii ndiyo tabia ya Ukweli. Haujifichi. Baada ya kutoka NECTA elimu imezikwa kwa division Zero.
 
Naunga mkono hoja.kama hakuna zruznga na figisufigisu 2na muhitaji m2 km joyce atukwamue hapa 2lipo.elimu hali ni tete.
 
Waislam tutajuta umesahau yale matokeo ya mtihani ule alitufanya mini?

mwislamu wakweli hawi mwongo ka wewe
Unatofauti gani na khafili???
wengi hatukuwa waislamu lakini cha moto tulikiona
 
Huyu mama nimefanya nae kazi pale Baraza la Mitihani kwenye sakata la wanafunzi wa shule za msingi kufanya udanganyifu kwenye mitihani na pia sakata la baadhi ya viongozi kughushi vyeti. Mama yuko makini na misimamo isiyoyumba. Naamini aliondolewa Kama alivyoondoka Prof Muhongo.
 
Pole na kazi mpiganaji mwenzangu.

Kosa ni kufanya Kosa na si kurudia kosa. Kama kweli tunataka elimu ya TZ na watoto wetu ipande tushindane East Africa, Africa na ulimwenguni, basi Dr. Ndalichako ni mtu sahihi.

Kwanza hatuna uhakika kuwa alifanya MAKUSUDI. Pia kwenye mambo yatakayotufaidisha wote tujitahidi kuweka udini pembeni. Fikiria mara ya pili mpendwa wangu. Tunahitaji brain pale na sio bora brain.

Kwa mabadiliko yaliyokuja elimu bure, mikopo inapatikana nk tunachohitaji na tukipiganie ni quality ya education.

Queen Esther

Huyo NECTA ilimshinda...ataiweza wizara? Tutolee utani hapa.
 
Huyu system haimtaki hata kidogo, aligoma kushusha viwango vya ufaulu
System ikamuona sio mwenzao, kumbuka systema ndiyo inaamua nani awepo na nani asiwepo na sio magu
 
Tukutane hapa kwa wanaotaka dr joyce apewe wizara.mods naomba msiunganishe uzi huu.kiukweli elimu inahitaji m2 makini.
 
Tukutane hapa kwa wanaotaka dr joyce apewe wizara.mods naomba msiunganishe uzi huu.kiukweli elimu inahitaji m2 makini.
 
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.

Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.

Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.
Hata mimi huyu mama nina mkubali.
 
Huyu mama alipoondoka ndio tukaanza kuona div 5, Mara merit,pass Mara mtu ana d flat anaenda form five, form two ukipata d mbili zingine f zote unaenda form three basi ni shida tupu. Magufuli huyu mama anaendana na kasi yako hapendi siasa ndani ya elimu.
 
Ni maoni YANGU kama mdau WA ELIMU pia katiba ya nchi 1984 inaniruhusu kutoa MAWAZO YANGU KWA rais wangu. Wizara ya ELIMU inahitaji MTU aliye makini na msomi, pia awe angalau anafahamu changamoto zake.

Kwa heshima na utii ningeomba umrejeshe Mama Ndalichako ama awe katibu mkuu WA Wizara ya ELIMU au umpe UBUNGE kisha awe waziri WA ELIMU.

Wizara ya fedha ukamate mwenyewe, waziri mkuu akamate Utalii, nchi itatoka hapa tulipo.

Ndg Njali Nakuunga mkono Kwa Dr.Ndalichako Na mimi naomba uniunge mkono Kwa Ubunge maalum Kwa Ndg.Ludovic na Kuwa Waziri kamili wa Fedha he has done so much for his country bila kuyumbishwa Na yeyote kwenye repot Zake.Japokuwa alikosa kiongozi mwenye sifa Za wawajibisha aliowabainisha kufanya uubadhilifu na ufisadi kwenye repot Zake.Ameibua Madudu mengi bila woga.ni mzalendo wa Kweli hajajilimbikizia Mali wala kupokea Rushwa.Angekuwa Na Rais JPM Pengine wangewajibishwa
 
Huyu system haimtaki hata kidogo, aligoma kushusha viwango vya ufaulu
System ikamuona sio mwenzao, kumbuka systema ndiyo inaamua nani awepo na nani asiwepo na sio magu

60% walipata 0 mkuu akaona ni upuuzi mtupu akakataa maagizo yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom