Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kwa dhati kabisa naomba kutoa dukuduku langu kuhusu kuhodhi viwanja kwa hawa jamaa wa ardhi wizarani na manispaa ya kinondoni.

Kuna viwanja vingi wamejichukulia hawa watu katika maeneo ya Mbweni,Boko na hasa Bunju na hadi sasa vimekuwa ni mapori wa wanyama wakali.

Tunakuomba Rais wetu Magufuli fuatilia hii kitu maana mtu mmoja ana viwanja zaidi ya 20 sehemu moja.
 
Songoka,

Habari Mkuu? Hili suala la mchanga kutoroshwa kwenda nje ya nchi inatakiwa uwe na uelewa wa hali halisi ilivyo naona na wewe pia wengine wanachangiaa kuwa kwa nini Tanzania inashindwa kuwa na tanuri la centigrade 1,500. Hapa kinachotokea ni watu kukosa uelewa kuhusu huu mchanga unaoongelewa hapa. Kwanza ili nchi iweze kujenga huo mtambo wa ku-smelt huo wanaouita mchanga wa dhahabu inatakiwa iwe inauwezo wa kupata kiasi fulani cha mchanga huo ili uweze kujiendesha kibiashara. Ili mtambo uweze kujiendesha kwa faida unahitaji zaidi ya tani 150,000 za mchanga kwa mwaka , na Tanzania inazalisha chini ya tani 50,000 kwa mwaka. Watu hawajui kuwa ni migodi miwili tu ndio inazalisha huo mchanga ambao ni Bulyanhulu na Buzwagi, Hii inamaanisha kiasi cha mchanga wa dhahabu unazalishwa na migodi hiyo haiwezi ikatosha kiasi kinachotakiwa ili faida ipatikane. Ni sawa sawa mtu kwa kuwa unahitaji unga wa sembe uamue kununua mashine ya kusaga na kuiweka nyumbani kwa ajili ya kusaga unga kwa ajili ya chakula. Ni kweli utapata chakula lakini utapata hasara kwa kuwa utakuwa na mashine kubwa lakini unakiasi kidogo cha kusaga. Pia duniani nchi zinazoongoza kuzalisha mchanga huo ambao kwa kitaalamu unaitwa copper concentrate hupeleka mchanga huo katika nchi za China na Japan kwa hiyo sio Tanzania tu inapeleka copper concentrate huko hata nchi za Canada, Australia, Chile n.k

Vilevile, gharama za kujenga mtambo wa chini kabisa wa ku-smelt copper concentrate ni USD milioni 800 sawa na Shilingi trilioni 1.7. Mtambo huo hauwezi kujiendesha kwa faida kama utakuwa unachenjua tani 50,000 kwa mwaka wakati uwezo wake ni tani zaidi ya 150,000. Pia mitambo hii inahitaji umeme mwingi sana ndio maana inajengwa katika nchi zinazotumia umeme kutokana na nyuklia. Tanzania bado haijaweza kuwa na umeme mwingi kiasi hicho.

Hapa tatizo sio kwanini mchanga huo unasafirishwa kwenda nje ya nchi, cha muhimu ni kuhakikisha kuwa kilichomo ndani ya hayo makontena yanalipiwa malipo yote yanayostahili na hiyo ndio kazi inayofanywa na TMAA. Kabla makontena hayajaondoka tayari Serikali inakuwa tayari imeshalipwa mapato yake.

kwenye red humu ndo napozungumzia,

  1. To monitor and audit quality and quantity of minerals produced and exported by large, medium and small scale miners; to determine revenue generated to facilitate collection of payable royalty;
  2. To audit capital investment and operating expenditure of the large and medium scale mines for the purpose of gathering taxable information and providing the same to the Tanzania Revenue Authority (TRA) and other relevant authorities;
  3. To monitor and audit environmental management, environmental budget and expenditure for progressive rehabilitation and mine closure;
  4. To collect, analyze, interpret and disseminate minerals production and exports data for projecting Government revenue, planning purposes and decision making in the administration of the mining industry;
  5. To counteract minerals smuggling and minerals royalty evasion in collaboration with relevant Government authorities;
  6. To assess values of minerals produced by large, medium and small scale miners to facilitate collection of payable royalty;
  7. To advise the Government on all matters relating to the administration of the mineral sector with main focus on monitoring and auditing of mining operations to maximize Government revenue;
  8. To promote and conduct research and development in the mineral sector that will lead to increased Government revenue; and
  9. To examine and monitor implementation of feasibility reports; mining programs and plans; annual mining performance reports; and environmental management plans and reports of mining companies
Haya yakifanyika hata wakipeleka mlima mzima nje, we will be safe but these guys ni MAJIPU ORIGINAL
 
Msiwaonee bureee, TMAA na STMICO hawana vifaa vya kutosha, serikali inawabania sana kupata vifaa vya kitafiti, wapeni vifaa muone kazi zenye mafanikio, kwanza wana eneo dogo kufunga vifaa, pili
 
toa mfano wa vifaa ambavyo hawana na vime create bottle neck on their deliverance???
 
hapa sihitaji akili nyingi na maneno ya kiingereza MCHANGA USISAFIRISHWE TUMALIZANE HAPA HAPA MASHINE IJENGWE TU
 
Songoka,

Habari Mkuu? Hili suala la mchanga kutoroshwa kwenda nje ya nchi inatakiwa uwe na uelewa wa hali halisi ilivyo naona na wewe pia wengine wanachangiaa kuwa kwa nini Tanzania inashindwa kuwa na tanuri la centigrade 1,500. Hapa kinachotokea ni watu kukosa uelewa kuhusu huu mchanga unaoongelewa hapa. Kwanza ili nchi iweze kujenga huo mtambo wa ku-smelt huo wanaouita mchanga wa dhahabu inatakiwa iwe inauwezo wa kupata kiasi fulani cha mchanga huo ili uweze kujiendesha kibiashara. Ili mtambo uweze kujiendesha kwa faida unahitaji zaidi ya tani 150,000 za mchanga kwa mwaka , na Tanzania inazalisha chini ya tani 50,000 kwa mwaka. Watu hawajui kuwa ni migodi miwili tu ndio inazalisha huo mchanga ambao ni Bulyanhulu na Buzwagi, Hii inamaanisha kiasi cha mchanga wa dhahabu unazalishwa na migodi hiyo haiwezi ikatosha kiasi kinachotakiwa ili faida ipatikane. Ni sawa sawa mtu kwa kuwa unahitaji unga wa sembe uamue kununua mashine ya kusaga na kuiweka nyumbani kwa ajili ya kusaga unga kwa ajili ya chakula. Ni kweli utapata chakula lakini utapata hasara kwa kuwa utakuwa na mashine kubwa lakini unakiasi kidogo cha kusaga. Pia duniani nchi zinazoongoza kuzalisha mchanga huo ambao kwa kitaalamu unaitwa copper concentrate hupeleka mchanga huo katika nchi za China na Japan kwa hiyo sio Tanzania tu inapeleka copper concentrate huko hata nchi za Canada, Australia, Chile n.k

Vilevile, gharama za kujenga mtambo wa chini kabisa wa ku-smelt copper concentrate ni USD milioni 800 sawa na Shilingi trilioni 1.7. Mtambo huo hauwezi kujiendesha kwa faida kama utakuwa unachenjua tani 50,000 kwa mwaka wakati uwezo wake ni tani zaidi ya 150,000. Pia mitambo hii inahitaji umeme mwingi sana ndio maana inajengwa katika nchi zinazotumia umeme kutokana na nyuklia. Tanzania bado haijaweza kuwa na umeme mwingi kiasi hicho.

Hapa tatizo sio kwanini mchanga huo unasafirishwa kwenda nje ya nchi, cha muhimu ni kuhakikisha kuwa kilichomo ndani ya hayo makontena yanalipiwa malipo yote yanayostahili na hiyo ndio kazi inayofanywa na TMAA. Kabla makontena hayajaondoka tayari Serikali inakuwa tayari imeshalipwa mapato yake.

Yaani wewe unajua zaidi kuliko Magufuli? Mag ana washauri kama DR Mhongo! Halafu nani kakwambia ni lazima tani 150,000? Na jee tukiwa nao kipi kinatuzuia kusaga mchaga wa Zambia,DRC nk? Chako ni chako.
 
kula like mkuu, kitufe cha like kiko wapi mode
 
Majipu mengine hayajaiva jamani,na hayatakaa yaive ndani ya utawala wa CCM.......mnampa Rais ubaya tu wamiliki wa Chama.

Kama hayaivi basi Rais ayapige shindano yarudi (yasinyae) maana tukisubiri yaive dah!!! twafaaaaa
 
Songoka,

Habari Mkuu? Hili suala la mchanga kutoroshwa kwenda nje ya nchi inatakiwa uwe na uelewa wa hali halisi ilivyo naona na wewe pia wengine wanachangiaa kuwa kwa nini Tanzania inashindwa kuwa na tanuri la centigrade 1,500. Hapa kinachotokea ni watu kukosa uelewa kuhusu huu mchanga unaoongelewa hapa. Kwanza ili nchi iweze kujenga huo mtambo wa ku-smelt huo wanaouita mchanga wa dhahabu inatakiwa iwe inauwezo wa kupata kiasi fulani cha mchanga huo ili uweze kujiendesha kibiashara. Ili mtambo uweze kujiendesha kwa faida unahitaji zaidi ya tani 150,000 za mchanga kwa mwaka , na Tanzania inazalisha chini ya tani 50,000 kwa mwaka. Watu hawajui kuwa ni migodi miwili tu ndio inazalisha huo mchanga ambao ni Bulyanhulu na Buzwagi, Hii inamaanisha kiasi cha mchanga wa dhahabu unazalishwa na migodi hiyo haiwezi ikatosha kiasi kinachotakiwa ili faida ipatikane. Ni sawa sawa mtu kwa kuwa unahitaji unga wa sembe uamue kununua mashine ya kusaga na kuiweka nyumbani kwa ajili ya kusaga unga kwa ajili ya chakula. Ni kweli utapata chakula lakini utapata hasara kwa kuwa utakuwa na mashine kubwa lakini unakiasi kidogo cha kusaga. Pia duniani nchi zinazoongoza kuzalisha mchanga huo ambao kwa kitaalamu unaitwa copper concentrate hupeleka mchanga huo katika nchi za China na Japan kwa hiyo sio Tanzania tu inapeleka copper concentrate huko hata nchi za Canada, Australia, Chile n.k

Vilevile, gharama za kujenga mtambo wa chini kabisa wa ku-smelt copper concentrate ni USD milioni 800 sawa na Shilingi trilioni 1.7. Mtambo huo hauwezi kujiendesha kwa faida kama utakuwa unachenjua tani 50,000 kwa mwaka wakati uwezo wake ni tani zaidi ya 150,000. Pia mitambo hii inahitaji umeme mwingi sana ndio maana inajengwa katika nchi zinazotumia umeme kutokana na nyuklia. Tanzania bado haijaweza kuwa na umeme mwingi kiasi hicho.

Hapa tatizo sio kwanini mchanga huo unasafirishwa kwenda nje ya nchi, cha muhimu ni kuhakikisha kuwa kilichomo ndani ya hayo makontena yanalipiwa malipo yote yanayostahili na hiyo ndio kazi inayofanywa na TMAA. Kabla makontena hayajaondoka tayari Serikali inakuwa tayari imeshalipwa mapato yake.

Kwa maelezo haya ya kina ambayo ndo najua kazi haswa za TMAA, Ndg yetu SONGOKO hawezi kujivua hii habari ya Kutumika. hii ndio tatizo la vijana wengi wa kitanzania. Tunajivalisha miwani ya mbao na kuzitupilia mbali elimu zetu tulizozikwaa kwa gharama za walipa kodi wa kitanzania just kwa ujira mdogo sana tunaopewa.

Suara hapa katika issue ya madini ni sheria. turekebishe sheria zetu.
Uelewa mdogo unajidhihirisha pale unapouwianisha majukumu na GST na TMAA ilihali kazi za TMAA umeziainisha vzr kabisa.
 
Rais Magufuli atakuwa amefanya mapinduzi makubwa kama atasisitiza matumizi ya Kiswahili katika uendeshaji wa serikali. Ni aibu kuwa mpaka leo, ambapo Watanzania wengi hawajui Kiingereza, bado shughuli za mahakama ni kwa Kiingereza, nyaraka nyingi za serikali ni kwa Kiingereza. Ni wazimu na upumbavu wa kupita kiasi kutumia lugha ambayo wananchi wako wengi hawaijui!

Hii ndio sababu na kiini cha mikataba mibovu. Naweza kusema kwa aslimia 60 na hizo 40 ndio kwa sababu ya rushwa. Mawaziri wengi Kiingereza chao ni cha kughushi-ghushi tu halafu unamtaka aelewe mkataba ulio katika Kiingereza cha kitaalamu! Kwa vile sisi ndiyo wenye mali kwanini hatulazimishi asli ya mikataba yote iwe Kiswahili?

Ni kwanini hii kushikilia lugha za watu zaidi ya miaka 50 tangu uhuru? Kabla ya shule tuanze na matumizi ya Kiswahili katika serikali
 
N
Kwa maelezo haya ya kina ambayo ndo najua kazi haswa za TMAA, Ndg yetu SONGOKO hawezi kujivua hii habari ya Kutumika. hii ndio tatizo la vijana wengi wa kitanzania. Tunajivalisha miwani ya mbao na kuzitupilia mbali elimu zetu tulizozikwaa kwa gharama za walipa kodi wa kitanzania just kwa ujira mdogo sana tunaopewa.

Suara hapa katika issue ya madini ni sheria. turekebishe sheria zetu.
Uelewa mdogo unajidhihirisha pale unapouwianisha majukumu na GST na TMAA ilihali kazi za TMAA umeziainisha vzr kabisa.

ndugu yangu KIJANI naona unapotea , mitambo katika dunia hii ya teknolojia imekuwa tailored according to users specification. Hizi story za capacity ni za mwaka 47. a-dot ndo anatumika
 
Last edited by a moderator:
Halafu hata huko mahakamani basi bora wangekuwa wanaijua hiyo lugha kwa ufasaha, lakini unakuta wengi ni wababaishaji. Huwa napata kichefuchefu mtu anakwenda kuomba mahali kazi ya ulinzi eti anatakiwa aandike barua ya kiingereza!! Ukitaka kucheka ufe ngoja siku wabunge wanaongea kiingereza utabaki kinywa wazi, tena wabunge wenyewe ni wale wanaojiita wasomi, mpaka aibu.
 
Vile vile ili kupunguza gharma tuondoe SDuplication ya Wakala maana kuna wakala zinafanya kazi zinazofanana mfano GST , TMAA na STAMICO itasaidia kupunguza gharama za serikali.

Siyo kweli kwamba kuna dublication ya Wakala hususan katika usimamizi wa sekta ya madini. Kila taasisi iliyotajwa ina majukumu yake kulingana na uanzishwaji wake. GST wana wajibu mkubwa wa kutafiti maeneo yenye madini kwa lengo kutengeneza ramani za kijiolojia ili kuwezesha uwekezaji wa madini nchini. Lengo kubwa la TMAA ni kukagua migodi ili kuongeza mapato ya Serikali yatokanayo na shughuli za uzalishaji na biashara ya madini. Aidha, STAMICO wana kazi kubwa ya kusimamia interests za Serikali kwenye migodi inayoanzishwa na pia kusaidia uendelezwaji wa wachimbaji wadogo.
Utekelezaji wa majukumu hayo umesaidia sana ukuaji wa sekta ya madini. Kwa upande wa TMAA, mafanikio makubwa yanajumuisha pamoja na mambo mengine ulipaji wa corporate tax na migodi mikubwa, malipo ya mrabaha kwenye madini ya ujenzi na viwandani, uzalishaji wa dhahabu kutoka kwenye marudio na madini yanayokamatwa kwenye viwanja vya ndege. Takwimu za mafanikio haya na mengine zinapatikana kwenye tovuti ya Wakala.
 
Hivi haiwezekani kwa sisi wadau kwenda migodini kuona na kujifunza hawa TMAA na Migodi wanafanyaje kazi ili tuweze kufanya maamuzi kwa Informations Kamili?
 
Nadhani muda wa kuondoa zuio la usambazaji wa gazeti la "The East African" umefika. Kama ni adhabu wachapishaji na wamiliki wa gazeti hilo wameshatumikia vya kutosha. Sisi wananchi tuna haki ya kupata habari. Hivyo namwomba JPM aondoe zuio lilowekwa na serikali ya awamu ya 4.
 
Vile vile ili kupunguza gharma tuondoe SDuplication ya Wakala maana kuna wakala zinafanya kazi zinazofanana mfano GST , TMAA na STAMICO itasaidia kupunguza gharama za serikali.

Je unatambua kazi au majukumu ya hizo taasisi!? Kama watambua majukumu ya taasisi hizo je yanafanana!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom