Songoka,
Habari Mkuu? Hili suala la mchanga kutoroshwa kwenda nje ya nchi inatakiwa uwe na uelewa wa hali halisi ilivyo naona na wewe pia wengine wanachangiaa kuwa kwa nini Tanzania inashindwa kuwa na tanuri la centigrade 1,500. Hapa kinachotokea ni watu kukosa uelewa kuhusu huu mchanga unaoongelewa hapa. Kwanza ili nchi iweze kujenga huo mtambo wa ku-smelt huo wanaouita mchanga wa dhahabu inatakiwa iwe inauwezo wa kupata kiasi fulani cha mchanga huo ili uweze kujiendesha kibiashara. Ili mtambo uweze kujiendesha kwa faida unahitaji zaidi ya tani 150,000 za mchanga kwa mwaka , na Tanzania inazalisha chini ya tani 50,000 kwa mwaka. Watu hawajui kuwa ni migodi miwili tu ndio inazalisha huo mchanga ambao ni Bulyanhulu na Buzwagi, Hii inamaanisha kiasi cha mchanga wa dhahabu unazalishwa na migodi hiyo haiwezi ikatosha kiasi kinachotakiwa ili faida ipatikane. Ni sawa sawa mtu kwa kuwa unahitaji unga wa sembe uamue kununua mashine ya kusaga na kuiweka nyumbani kwa ajili ya kusaga unga kwa ajili ya chakula. Ni kweli utapata chakula lakini utapata hasara kwa kuwa utakuwa na mashine kubwa lakini unakiasi kidogo cha kusaga. Pia duniani nchi zinazoongoza kuzalisha mchanga huo ambao kwa kitaalamu unaitwa copper concentrate hupeleka mchanga huo katika nchi za China na Japan kwa hiyo sio Tanzania tu inapeleka copper concentrate huko hata nchi za Canada, Australia, Chile n.k
Vilevile, gharama za kujenga mtambo wa chini kabisa wa ku-smelt copper concentrate ni USD milioni 800 sawa na Shilingi trilioni 1.7. Mtambo huo hauwezi kujiendesha kwa faida kama utakuwa unachenjua tani 50,000 kwa mwaka wakati uwezo wake ni tani zaidi ya 150,000. Pia mitambo hii inahitaji umeme mwingi sana ndio maana inajengwa katika nchi zinazotumia umeme kutokana na nyuklia. Tanzania bado haijaweza kuwa na umeme mwingi kiasi hicho.
Hapa tatizo sio kwanini mchanga huo unasafirishwa kwenda nje ya nchi, cha muhimu ni kuhakikisha kuwa kilichomo ndani ya hayo makontena yanalipiwa malipo yote yanayostahili na hiyo ndio kazi inayofanywa na TMAA. Kabla makontena hayajaondoka tayari Serikali inakuwa tayari imeshalipwa mapato yake.
Msiwaonee bureee, TMAA na STMICO hawana vifaa vya kutosha, serikali inawabania sana kupata vifaa vya kitafiti, wapeni vifaa muone kazi zenye mafanikio, kwanza wana eneo dogo kufunga vifaa, pili

kula like mkuu, kitufe cha like kiko wapi modeYaani wewe unajua zaidi kuliko Magufuli? Mag ana washauri kama DR Mhongo! Halafu nani kakwambia ni lazima tani 150,000? Na jee tukiwa nao kipi kinatuzuia kusaga mchaga wa Zambia,DRC nk? Chako ni chako.
Majipu mengine hayajaiva jamani,na hayatakaa yaive ndani ya utawala wa CCM.......mnampa Rais ubaya tu wamiliki wa Chama.
Songoka,
Habari Mkuu? Hili suala la mchanga kutoroshwa kwenda nje ya nchi inatakiwa uwe na uelewa wa hali halisi ilivyo naona na wewe pia wengine wanachangiaa kuwa kwa nini Tanzania inashindwa kuwa na tanuri la centigrade 1,500. Hapa kinachotokea ni watu kukosa uelewa kuhusu huu mchanga unaoongelewa hapa. Kwanza ili nchi iweze kujenga huo mtambo wa ku-smelt huo wanaouita mchanga wa dhahabu inatakiwa iwe inauwezo wa kupata kiasi fulani cha mchanga huo ili uweze kujiendesha kibiashara. Ili mtambo uweze kujiendesha kwa faida unahitaji zaidi ya tani 150,000 za mchanga kwa mwaka , na Tanzania inazalisha chini ya tani 50,000 kwa mwaka. Watu hawajui kuwa ni migodi miwili tu ndio inazalisha huo mchanga ambao ni Bulyanhulu na Buzwagi, Hii inamaanisha kiasi cha mchanga wa dhahabu unazalishwa na migodi hiyo haiwezi ikatosha kiasi kinachotakiwa ili faida ipatikane. Ni sawa sawa mtu kwa kuwa unahitaji unga wa sembe uamue kununua mashine ya kusaga na kuiweka nyumbani kwa ajili ya kusaga unga kwa ajili ya chakula. Ni kweli utapata chakula lakini utapata hasara kwa kuwa utakuwa na mashine kubwa lakini unakiasi kidogo cha kusaga. Pia duniani nchi zinazoongoza kuzalisha mchanga huo ambao kwa kitaalamu unaitwa copper concentrate hupeleka mchanga huo katika nchi za China na Japan kwa hiyo sio Tanzania tu inapeleka copper concentrate huko hata nchi za Canada, Australia, Chile n.k
Vilevile, gharama za kujenga mtambo wa chini kabisa wa ku-smelt copper concentrate ni USD milioni 800 sawa na Shilingi trilioni 1.7. Mtambo huo hauwezi kujiendesha kwa faida kama utakuwa unachenjua tani 50,000 kwa mwaka wakati uwezo wake ni tani zaidi ya 150,000. Pia mitambo hii inahitaji umeme mwingi sana ndio maana inajengwa katika nchi zinazotumia umeme kutokana na nyuklia. Tanzania bado haijaweza kuwa na umeme mwingi kiasi hicho.
Hapa tatizo sio kwanini mchanga huo unasafirishwa kwenda nje ya nchi, cha muhimu ni kuhakikisha kuwa kilichomo ndani ya hayo makontena yanalipiwa malipo yote yanayostahili na hiyo ndio kazi inayofanywa na TMAA. Kabla makontena hayajaondoka tayari Serikali inakuwa tayari imeshalipwa mapato yake.
Kwa maelezo haya ya kina ambayo ndo najua kazi haswa za TMAA, Ndg yetu SONGOKO hawezi kujivua hii habari ya Kutumika. hii ndio tatizo la vijana wengi wa kitanzania. Tunajivalisha miwani ya mbao na kuzitupilia mbali elimu zetu tulizozikwaa kwa gharama za walipa kodi wa kitanzania just kwa ujira mdogo sana tunaopewa.
Suara hapa katika issue ya madini ni sheria. turekebishe sheria zetu.
Uelewa mdogo unajidhihirisha pale unapouwianisha majukumu na GST na TMAA ilihali kazi za TMAA umeziainisha vzr kabisa.
Act=ccm
Vile vile ili kupunguza gharma tuondoe SDuplication ya Wakala maana kuna wakala zinafanya kazi zinazofanana mfano GST , TMAA na STAMICO itasaidia kupunguza gharama za serikali.