BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,108
Aiseee!!!!!! Wewe ni mtanzania kweli? Na umemaliza elimu kwa mitala ya Tanzania? Na hulijui bomba la Tazama?
Unashauri hilo bomba lipitishwe sehem nyingine sio?
Aisee! Good
Kisheria ukinunua mali ya wizi hata kama umepewa risiti halali waweza fungwa.vivyo hivyo hilo ghorofa,hata kama lina hati iliotolewa na manispaa lakini kwa kuwa ni kosa kujenga juu ya bomba,basi ni haki yake kuvunjiwaKwanza alipataje hati; na pili alipataje kibali cha ujenzi? Mamlaka iliyotoa hivi vibali (serikali) inapaswa kuwajibika na kulipa gharama zote.
Aiseee!!!!!! Wewe ni mtanzania kweli? Na umemaliza elimu kwa mitala ya Tanzania? Na hulijui bomba la Tazama?
Unashauri hilo bomba lipitishwe sehem nyingine sio?
Aisee! Good
Kiukweli hapo busara itumike.
Kama alivyoshauri mdau mmoja hapo juu, apigiwe gharama ya kuhamisha au kuchepusha bomba hilo kwenda upande mwingine. Hapo serikali itakuwa imeondokana na lawama pamoja na hasara kubwa endapo mmiliki ataenda mahakamani kudai fidia.
Busara kubwa itumike kama ilivyotumika kuepusha bomoabomoa ya jengo la Tanesco pale Ubungo.
BACK TANGANYIKA
Kwani bomba la TAZAMA linatusaidia nini Watanzania? Hiyo ni mali ya Wazambia. Bora hata hilo ghorofa linasaidia kupendezesha mji wetu na kutufichia aibu ya umasikini na udumavu wa mji wa Morogoro...
Majipu yatakayotumbuliwa ni wanyonge na watumishi basi majipu mazito Kama ya wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa ndoto
lipo morogoro-msanvu
Hapa common sense itumike. Apigiwe hesabu za kupitisha bomba sehemu nyengine. Hilo jengo linatia sura ya mji na kuweka mazingira mazuri.
Aiseee!!!!!! Wewe ni mtanzania kweli? Na umemaliza elimu kwa mitala ya Tanzania? Na hulijui bomba la Tazama?
Unashauri hilo bomba lipitishwe sehem nyingine sio?
Aisee! Good
Kwani bomba la TAZAMA linatusaidia nini Watanzania? Hiyo ni mali ya Wazambia. Bora hata hilo ghorofa linasaidia kupendezesha mji wetu na kutufichia aibu ya umasikini na udumavu wa mji wa Morogoro...
Acheni uzushi hii ni hoteli ya tiagi masamaki hebu mwacheni.huyo one oneHiyo si ipo pale Morogoro round abaut?
Nasikia ni ya bwana mmoja hivi tajiri sana anaitwa one one... Daaah mbona majanga haya!!!
BACK TANGANYIKA
Jamani tusiendelee kupotosha,kilichojengwa juu ya bomba la TAZAMA ni jengo la generator na sehemu ya uzio na ndivyo vinavyotakiwa kuvunjwa.