Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
huna akili utampangiaje rais utaratibu wake wewe nani usilete chuki binafsi
 
Muhongo, Mwigulu, mwakyembe wanafaa sana kuwepo hao wengine hawafai wote
 
thubutu baraza la mawaziri tayari ameshapangiwa nchemba na kigwa ndani bila kumsahau Diallo
 
+
samuel sitta
mama wa hela ya mboga
mkono
nchimbi
nape
 
Mtimbie ikulu tu utamuona
 
Mimi namkubali Prof Muhongo kwa sababu ni mtu wa facts, anaongea kitu ambacho kipo direct. Kuhusu kuthamini wawekezaji wa ndani sio kwamba hawathamini ila ni ukweli ulio wazi kwamba sekta ya nishati na madini inahitahi wawekezaji ambao wako full competent. Mfano kipindi cha mzozo wa vitalu vya gesi alitaja technical and financial requirements ambazo mwekezaji anatakiwa kua nazo ili apate kitalu.. Akasema anayeona ana qualify basi aende ofisini. Na kuhusu kutetea, ni kawaida waziri yupo upande wa serikali na lazima atetee serikali yake.
 
ndani ya ccm si rahisi kumpata kiongozi mzuri ndio maana mabadiliko maana yake ilikuwa kuitoa ccm madarakani lakini kwa hapa tulipofikia tutaumia tu,kwa miaka mingine mitano
 
Shost, subiri lowasa akiwa rais ndo umshauri, au mumeshamkubali ngosha tayari?
 
acha kujiangaisha unapigia mbuzi Gitaa tu-Muombe tu Mungu Miaka 10 iishe mapema tuangalie chama kingine.Aliweza hivyo Nyerere tu.
 

Kumbe Lowassa hana ubabe mbele ya Kikwete!

Ilikuwa ni nguvu ya soda tu.
 
hawa ghasia sjui alikuwa anafanya nini hasa ofisini kwake.

maghembe ni janga hastahili kabisa uwaziri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…