Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Mimi naona hata vyama vimo

Ukiwa mwanachama wa chama kikuu unapatakazi japo has na vigezo

Naukiwa chama chengine hupati kazi hatakama unavigezo vyote na hasa nafasi za juu
 

Ushauri wako ni mzuri lkn matunda yake ni zaidi ya miaja 20 ijayo. Kwa Sasa hivi maofisini nini kifanyike?
 

Hao unao wakejeli wacheza baikoko na wachunga ng'ombe umeamua kuwasimanga na kuwaacha na umaskini wao? Waendelee kuzisikia ajira za serikali bombani?

Kwa hiyo hali iendelee kama ilivyo!? Mjomba au baba mdogo alietangulia ofisini aendelee kuuvuta ukoo wake!? Wale wachunga mifugo na wacheza baikoko hata kama wamesoma wasiingizwe kwenye haki yao ya ajira ya taifa!?

Tafakari!!!!!!!
 
Ni kweli kabisa kama unatafuta kaZ nssf na we si wa dini ya huyo kionhoz wao huwez kupewa kaz. Hili linalalamikiwa sana. Na ni hatarinsana. Rais tunaomba umulike.san nssf kwa udin.
 
Niliwahi kuingia NBC makao makuu kuanzia mtu wa usafi hadi meneja wafanyakazi katibu wote wanaongea kilugha..shimwala waitu.
 
Taifa la kutafutana uchawi kila siku

shida ya Tanzania ni kuwa hatuna 'strong corporate world'
sisi serikali ndie muajiri mkuu
ndo maana tunagombania ajira za serikalini....
kuwa mwalimu wa chuo au secondary TZ ni better kuliko kufanya kazi bank au kampuni binafsi
 
Jipu la kuajiri kwa kigezo cha dini na kabila Lipo sana kwenye baadhi ya taasisi za serikali,ukienda TRA 80% ni kutoka kule na ukienda NSSF 90% ni dini Ile.

Mkuu malizia TRA 80% ni kutoka kule na ni dini ile!
 

Bila hata kutajwa mmeshaanza ku vibrate. Ukweli umesemwa hapo. Hamna cha kuwekeza kwenye elimu wala nini. Kuna jamii za Kitanzania zina mila zenye kulea hulka mbovu za ukabila.
Lile kabila lenye hili tatizo sana, hata wakikaa bar watu kumi utakuta wote kabila moja. Vikundi vyao vya kijamii vya kusaidiana, mambo ni yale yale. Hivi hawana marafiki wa makabila mengine???
 
serikali bado haijatoa vibali vya kuajiri intern wote walio maliza bado wapo mtaani au private usipotoshe
 

Umesema jibu kubwa sana nikafikiri limawahusu watanzania wote. Si watu wote wanataka ajira serikalini.
 
ichunguzwe asilimia kubwa ya wakuu wa idara ni dini na kabila gani katika taasisi za umma. kama kuna viashiria vyovyote vya upendeleo basi lidhibitiwe na likemewe kuanzia sasa ili lisije kutuletea shida baadae
 
Ni kweli kabisa kama unatafuta kaZ nssf na we si wa dini ya huyo kionhoz wao huwez kupewa kaz. Hili linalalamikiwa sana. Na ni hatarinsana. Rais tunaomba umulike.san nssf kwa udin.

Nssf, taasisi, mashirika na wizara zote. Tatizo ni kubwa zaidi
 
Kama kuna MTU alishawahi kukukosa ajira akaambiwa Na hiyo mwajiri sababu ya kukosa ni kuwa Ukabila Fulani au Dini Fulani akathibitishe. Mnakosa sifa za kuajiriwa mnasingizia Dini Na Ukabila.Kwa hiyo ukiwa Ukabila Fulani na sifa unazo usipewe kazi pale? Mtakufa kwa wivu na umbeya.George Bush Baba yake GBush Na Jeb Bush, ni familia moja Na wote wana sifa za kutawala USA. Sijapata kusikia mmarrkani alisema hii America si ya Bush's wanaangalia UWEZO Wa MTU. Huku bongo Ukabila Na Dini. Kwani si watanzania hao Na wanafanya kazi Tanzania! Acheni Vijiba vya roho mtakufa. Kubwa zima unamshauri Rais Utumbo.
 

umezunguka nini sasa shida yako ilikua kuisema nssf ungenyoosha tu maeleza mana makafikir tabia zao zinajulikana hadi kwenye vitabu vya dini
 

This is the contention issue! sio ajira za serikalini.wachangiaji.wamepewa elimu ya kuajiriwa serikalini.ili wakazembee na kupiga hela na job security ya maisha! wakibadilisha kazi zikiwa za contract hutasikia hizi.kelele! serikali.ilisema inataka kukusanya.kodi sio kutoa huduma! jiongezeni WATANZANIA.
 

Pole sana. Usichanganye kugombea nafasi ya siasa na ajira ktk ofisi ya umma. Mfano wako hausadifu hata kidogo. Je inawezekana ukoo Wa bush ukaruhusiwa kujikita ktk wizara au shirika LA umma moja?

Tafakari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…