Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
hao wote wawili wanajuana ni waarabu wapemba ngoma ikipigwa na mwanadalisalama lazima mwanamagogoni aicheze tu.
 
Una hoja ila kumbuka huu msemo....
"....Your voice is too.small to be heard..."
 
hats wewe? naona yemekukuta. je? utakubaliana na kauli mh.lisu kuwa tunaye "rais wa ajabu ajabu"?
 
thread nyingine bwana, wivu tu unawauma, acha kijana apate dhawabu kwa kusurubu mijambazi ya madawa, wewe mleta mada unapendezwa na nini ukiona mtu anakula dawa na anakuibia kwa kuwa sioakili yake??? ...bavu kabisaa
 
Hakuna sheria makonda aliyevunja na umeshindwa kuitaja...kama kutangazwa akina Lowassa walitangazwa, wazee wa TRA walitangazwa, wanaohisiwa kuiba kuku wanatangazwa... besides Makonda anatumia kamati ya ulinzi na usalama ambayo ni taasisi ya kisheria..... watanzania tuweni na facts za kisheria kuliko kutegemea emotions zetu ama kuhalalisha hates zetu.
 
thread nyingine bwana, wivu tu unawauma, acha kijana apate dhawabu kwa kusurubu mijambazi ya madawa, wewe mleta mada unapendezwa na nini ukiona mtu anakula dawa na anakuibia kwa kuwa sioakili yake??? ...bavu kabisaa
very true
 

Una uhakika kwamba moja hatumwi na mwingine?
 
thread nyingine bwana, wivu tu unawauma, acha kijana apate dhawabu kwa kusurubu mijambazi ya madawa, wewe mleta mada unapendezwa na nini ukiona mtu anakula dawa na anakuibia kwa kuwa sioakili yake??? ...bavu kabisaa
Jambazi wema, jambazi petit duh we balaa
 
LISALA YA WAZI KWA RAIS MAGUFULI

Magufuli Joseph Pombe, ukae ulivyo usibadilike! Na watu wasikuzoee. Ukali wako ndo umekupa kiti cha uraisi. Wale waliojifanya wema hawakufika mbali! Watu wakujue hivyo! hivyo! Usiwabembeleze. Kama ni cheo tayari unacho, haina maana yoyote watu kukusifia wakati Taifa linaangamia. Usiangalie wingi, angalia maendeleo,. Hata gari kama lina abiria watatu basi ondoa gari kituoni wengine utawakutana mbele. Hivyohivyo!

Uwe kama Putin wa Russia au Trump, ukarimu wa Kikwete ndo umetuingiza kwenye ulofa huu. Watu legelege hata MUNGU hawataki, Mungu anataka Viongozi mashujaa.
 
"Uwe kama Putin au Trump" hehehehe
Kelele nyingi hata Russia wala US hujafika, Trump kafanya nini sasa la maana? Yule naye ni mtu wa kumsifia? Hizi story mnazopiga vijiweni bila facts ziwe zinaishia huko.
 
- Watu wapo mtaani wana vyeti OG.

- Watu wapo maofisini wana vyeti FEKI.

- Watu wapo maofisini hawafanyi kazi.

- WATU WAPO MTAANI WANATAKA KAZI.

#########SHIDA!!!!!!!!!!!
 
- Watu wapo mtaani wana vyeti OG.

- Watu wapo maofisini wana vyeti FEKI.

- Watu wapo maofisini hawafanyi kazi.

- WATU WAPO MTAANI WANATAKA KAZI.

#########SHIDA!!!!!!!!!!!
Pia ongeza na ...
Watu wapo mtaani wanafanya kazi

Watu wapo CCM ni wabaya wako

Watu wapo upinzani ni wazuri wako, wanakutakia mema.

"Kikulacho ki nguoni mwako"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…