mkwawa complex
Senior Member
- Dec 15, 2016
- 183
- 150
Kwanza hapangi wi halkafu Kuna wasomi wengi kati wa Watanzani milioni 50.Hakika kutokana na mchango wake kwa wanawake hapa nchini hakuna ubishi mbunge mpya, na mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, mama Salma Kikwete anatosha kuwa waziri wa Wanawake na watoto.
Mama Salma Kikwete amefanya mambo makubwa katika kumkomboa mwanamke kupitia taasisi yake ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Hivyo akiwa waziri wa Wizara hii atafanya mambo makubwa zaidi, ukizingatia ana uzoefu mkubwa katika ukombozi wa Wanawake nchini .
Kwa hiyo ni vyema mtukufu Rais John Pombe Magufuli amfikirie kuwa waziri wa wizara hiyo .
Hakika kutokana na mchango wake kwa wanawake hapa nchini hakuna ubishi mbunge mpya, na mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, mama Salma Kikwete anatosha kuwa waziri wa Wanawake na watoto.
Mama Salma Kikwete amefanya mambo makubwa katika kumkomboa mwanamke kupitia taasisi yake ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Hivyo akiwa waziri wa Wizara hii atafanya mambo makubwa zaidi, ukizingatia ana uzoefu mkubwa katika ukombozi wa Wanawake nchini .
Kwa hiyo ni vyema mtukufu Rais John Pombe Magufuli amfikirie kuwa waziri wa wizara hiyo .
Mkuu mitale na midimuHadi leo katiba na mchakato wake umeshatumia mabillion ya pesa za mlalahoi mtanzania.
Hatua iliyobaki ni ndogo kuliko iliyopita
Tunakuomba Rais wetu kamilisha mradi wa upatikanaji wa katiba mpya ili angalau pamoja na yote tuheshimu mabillion ya mtanzania yaliyokwisha kutumika hadi hapo ulipokwamia.
Tunakuombea kila hatua maana tunaamini unaweza na hili pia linawezekana ktk utawala wako...
Mtazamo mzuri.Katiba ipi? Kwanza inatakiwa ile ya ccm ichomwe au ipelekwe Lumumba halafu mpango kamili uhamie kwenye Katiba ya wananchi na maoni ya wananchi yaheshimiwe. Yaani ili kuleta usawa tunahitaji kundi la watu wachache mfano
1. Kila chama cha siasa wawakilishi 3,
2. Kila dhehebu mwakilishi 1
3. Vyama vya wafanyakazi mwakilishi 1
4. Tanganyika 3 - Zanzibar 3
5. Bunge wawakilishi 3
Kwa upande wa vyama vya siasa waangalie vyenye uwakilishi bungeni. Hapa tupate wawakilishi wasiozidi 60 watuandalie Katiba. Vigezo vya wawakilishi viwe Elimu na hasa sheria. Then baada yapo Bunge lipitishe ije kwa wananchi.
Nakupata mkuu Pascali,Mkuuhttps://www.jamiiforums.com/members/mitale-na-midimu.321780/
kwanza naunga mkono hoja, ya kukamilishwa kwa ule mchakato wa katiba, ila natofautiana na wewe katika justification yako ambayo wewe umejielekeza kwenye monetary value kuwa kwa vile mchakato umegharimu kiasi kikubwa cha pesa, tuukamilishe ili kujustify the money spent.
Kwa vile mchakato haujasimamishwa wala haujafutwa na uko kwenye ilani ya CCM, na CCM haikuweka time frame, then money spent kwenye hatua za awali, they are well spent regardless tutapata katiba mpya lini iwe ni 2025 or 2035 bado it's OK.
Na kama sababu za Magufuli kutoendelea na mchakato, alisema ni kuepuka gharama za kura ya maoni, then hoja yako hii gharama inhekuwa hoja ya msingi.
Lakini rais Magufuli amesema katiba sio kipaumbele chake. Vipaumbele vyake vikikamilika, then ataifikia katiba.
Umuhimu wa kukamilishwa kwa mchakato wa katiba mpya ni dhima ya katiba mpya na sio gharama zilizotumika.
It's very very unfortunately, rais Magufuli sio mwanasiasa, huyu ni mtendaji zaidi, action oriented man mwenye maneno mafupi na vitendo virefu. Kwa mwanasiasa yoyote, katiba ndio the most important thing, lakini kwa Magufuli katiba sio muhimu kihivyo na ndio maana anaikanyaga and life goes on.
Niliisha zungungumzia sana katiba
Bora Katiba tuikubali, tusiichukie CCM kwa sababu CCM itahukumiwa na Karma kwa Uovu wake
Rasimu ya Katiba: Not Over Until It's Over!, Hizi ndizo kanuni za Bunge zitakazoikubali au kuikataa
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=/amp/s/www.jamiiforums.com/threads/mchakato-huu-wa-katiba-ni-umasikini-wetu-tujikubali-tuukubali-tuupigie-kura-ya-ndio.626078/%3Famp%3D1395483526&ved=0ahUKEwi9lqz756rTAhUPM8AKHfe_AdYQFggYMAA&usg=AFQjCNFdeV7Z0K6AZkAgCaTfKqqVTFLADA&sig2=H7bSuYCudkXmjPsZBOwP5Q
Paskali
Mkuu mitale na midimuNakupata mkuu Pascali,
Lengo la Kuandika ilikuwa pia kutafakari gharama tunazoingia kuanzisha kitu kizuri ili kichukue nafasi ya kitu tulichokubaliana kinamatatizo.
Sikupenda kugusia kilichomo ndani ya katiba inayosubiriwa kupigiwa kura maana iko wazi kwamba,
1:katiba iliyopo inamapungufu kuliko hii tunayotakiwa kuipigia kura
2:katiba iliyopo inamapungufu kuliko rasimu pendekezwa ya Jaji warioba
3: Zote katiba tunayotarajia kuipigia kura na Ile rasimu ya warioba zinaonekana kuwa na mapungufu na kila moja imejivutia mashabiki upande wake
4: Pamoja na Mapungufu yote Zote ya kupigiwa kura na rasimu ya warioba zote mbili ni bora zaidi ya iliyopo Sasa, na kama ndivyo na ya kupigiwa kura ipo tayari moja kwa moja ni kitu chenye angalau na chafaa.
Mimi nachukulia mchakato wa katiba mpya kama mradi wa Kitaifa. Na mradi wowote duniani lazima uwe na ukomo wa Muda na Muda huo kubainishwa, Gharama na gharama hizo hadi kufungwa mradi lazima zibainishwe, Tatu scope au wigo wa huo mradi huku ubora ukibaki kama kiunganishi cha vitatu hivyo.
Nimeamua kujielekeza kwenye pesa kwa sababu kadhaa,
1: Time value of Money. Gharama ya kukamilisha huo mchakato leo ni ndogo kuliko Mwakani au siku vipaumbele vya Mh Rais vitakapotimia au miaka uliyopendekeza.
2:Faida zilizohubiriwa na walioiandaa hiyo katiba zinaweza kuwa kichocheo kikubwa cha kukamilika mapema vipaumbele vya serikali hii
3:Ikitokea maana kwenye uchaguzi lolote linawezekana 2020 au 2025 Akapita kiongozi mwingine asiyekubaliana na katiba inayosubiri kupigiwa kura na kuanza upya, mkuu huoni kama pesa za kuiandaa hii zitakuwa zimepotea bure? na kama tukiipigia kura hii leo kama taifa tutaanza kunufaika na mambo mazuri yaliyomo kwa Mujibu wa walioiandaa, Miaka ijayo wakija wengine wakaanza mchakato upya mfano tayari tutakuwa angalau tumepata manufaa ya pesa zetu kwa kiasi flani.
Link Magufuli aambiwe kuwa ndege, madaraja, reli za umeme sio vipaumbele vyetuHii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
......
Yeye sio katika kundi la watumishi wa umma bali kundi la wateule wa rais.Na yeye nani asitoe VYETI vyake..wakati watumishi wa umma kama yeye wamekaguliwa na wengine kufukuzwa KAZI? atoe VYETI DAUDI BASHITE.