Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
WEWE "BINT MSICHANA"BADO UNA MAWAZO MGANDO YA AWAMU YA UONGOZI ILIYOPITA.HATA WIZARA ZILIZOPO TANZANIA KWA SASA WEWE HUZIJUI.KWA HIYO HATA HUO USHAURI WAKO ??? KAMA UMETUMWA KAJIPANGE UPYA.
 
Hapangiwi.
Hakika kutokana na mchango wake kwa wanawake hapa nchini hakuna ubishi mbunge mpya, na mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, mama Salma Kikwete anatosha kuwa waziri wa Wanawake na watoto.

Mama Salma Kikwete amefanya mambo makubwa katika kumkomboa mwanamke kupitia taasisi yake ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).

Hivyo akiwa waziri wa Wizara hii atafanya mambo makubwa zaidi, ukizingatia ana uzoefu mkubwa katika ukombozi wa Wanawake nchini .

Kwa hiyo ni vyema mtukufu Rais John Pombe Magufuli amfikirie kuwa waziri wa wizara hiyo .
Kwanza hapangi wi halkafu Kuna wasomi wengi kati wa Watanzani milioni 50.
 
Hiyo itakuwa wizara mpya au ?

Unahisi wanawake na watoto hawawezi kujiongoza mpaka wapewe mtu wa kuwaongoza .
 
mama wa watu hawezi hata kuongea mstari mmoja wa english akienda UN itakuwaje?
 
Acheni kujipendekeza hakuna haja ya kuongeza wizara,ni mzigo kwa walipa kodi,mimi ningependekeza tupunguze idadi ya wilaya,na idadi ya mikoa kwa asili mia 30,lakini tuendelee kubolesha miundo mbinu,afya,pammoja na elimu ya msingi ,sekondari,VETA.Hawa wakuu wa mikoa na wilaya ,pammoja na wabunge ni wengi kuliko uwezo wetu,bado wanakula mishahara na mafao makubwa.Kwa mwendo huu hatufiki,sina maana kuwa Mama Kikwete asiwe waziri.ni uamuzi wa Raisi.
 
Hakika kutokana na mchango wake kwa wanawake hapa nchini hakuna ubishi mbunge mpya, na mke wa Rais mstaafu wa Tanzania, mama Salma Kikwete anatosha kuwa waziri wa Wanawake na watoto.

Mama Salma Kikwete amefanya mambo makubwa katika kumkomboa mwanamke kupitia taasisi yake ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).

Hivyo akiwa waziri wa Wizara hii atafanya mambo makubwa zaidi, ukizingatia ana uzoefu mkubwa katika ukombozi wa Wanawake nchini .

Kwa hiyo ni vyema mtukufu Rais John Pombe Magufuli amfikirie kuwa waziri wa wizara hiyo .

Wewe ni lipumbavue kabisa tena ni zaidi ya mapumbavue ya kawaida.
 
Awali ya yote,tuupongeze uongozi wa juu wa nchi yetu,kwa kuwa mfano wa uchapakazi.
Nionavyo wanafaa kuigwa. Tumeshuhudia Mh. Raisi na Waziri Mkuu wakiingilia kati kufanya kazi ambazo zilitakiwa kuwa zimefanywa na wasaidizi wao. Hali kadhalika, kuna kazi za wanafanya wakuu wa mikoa ambazo zilipaswa kufanywa na Wakuu wa Wilaya. Pia kuna Wilaya kieneo ni ndogo ukilinganisha na nyingine Mf. Hai na Siha, ulinganishe Mahenge na Kalambo. Ukiangalia kiuhalisia,kinachowezesha Mkuu wa eneo moja la kazi kupanua utendaji hadi eneo lingine ni; kuongezeka ubora wa njia za mawasiliano . Tumeboresha mawasiliano ya simu,mitandao rasmi na ya kijamii,barabara na hata vyombo vya kusafiria ni vya kisasa. Kwa maana nyingine kazi iliyokuwa ifanywe na watu mfano 3 hapo nyuma,leo yawezekana kufanywa na mtu 1 na ikafanikiwa zaidi. Unapoendelea kuwa na mzigo wa wasaidizi na kuwalipa gharama kubwa kwa kazi ndogo,unajiongezea matumizi . Mfano, kwa Wilaya zile ndogo kijiografia na kuna mawasiliano ya kutosha Mkuu mmoja apewe Wilaya 2 hata 3. Kwa upande wa Mawaziri, Hili nalo liangaliwe kwa upana ili kuongeza kupunguza matumizi na kuongeza ufanisi.
 
Hadi leo katiba na mchakato wake umeshatumia mabillion ya pesa za mlalahoi mtanzania.
Hatua iliyobaki ni ndogo kuliko iliyopita
Tunakuomba Rais wetu kamilisha mradi wa upatikanaji wa katiba mpya ili angalau pamoja na yote tuheshimu mabillion ya mtanzania yaliyokwisha kutumika hadi hapo ulipokwamia.

Tunakuombea kila hatua maana tunaamini unaweza na hili pia linawezekana ktk utawala wako...
 
Katiba ipi? Kwanza inatakiwa ile ya ccm ichomwe au ipelekwe Lumumba halafu mpango kamili uhamie kwenye Katiba ya wananchi na maoni ya wananchi yaheshimiwe. Yaani ili kuleta usawa tunahitaji kundi la watu wachache mfano
1. Kila chama cha siasa wawakilishi 3,
2. Kila dhehebu mwakilishi 1
3. Vyama vya wafanyakazi mwakilishi 1
4. Tanganyika 3 - Zanzibar 3
5. Bunge wawakilishi 3

Kwa upande wa vyama vya siasa waangalie vyenye uwakilishi bungeni. Hapa tupate wawakilishi wasiozidi 60 watuandalie Katiba. Vigezo vya wawakilishi viwe Elimu na hasa sheria. Then baada yapo Bunge lipitishe ije kwa wananchi.
 
Mkuu mitale na midimu
kwanza naunga mkono hoja, ya kukamilishwa kwa ule mchakato wa katiba, ila natofautiana na wewe katika justification yako ambayo wewe umejielekeza kwenye monetary value kuwa kwa vile mchakato umegharimu kiasi kikubwa cha pesa, tuukamilishe ili kujustify the money spent.

Kwa vile mchakato haujasimamishwa wala haujafutwa na uko kwenye ilani ya CCM, na CCM haikuweka time frame, then money spent kwenye hatua za awali, they are well spent regardless tutapata katiba mpya lini iwe ni 2025 or 2035 bado it's OK.

Na kama sababu za Magufuli kutoendelea na mchakato, alisema ni kuepuka gharama za kura ya maoni, then hoja yako hii gharama inhekuwa hoja ya msingi.

Lakini rais Magufuli amesema katiba sio kipaumbele chake. Vipaumbele vyake vikikamilika, then ataifikia katiba.

Umuhimu wa kukamilishwa kwa mchakato wa katiba mpya ni dhima ya katiba mpya na sio gharama zilizotumika.

It's very very unfortunately, rais Magufuli sio mwanasiasa, huyu ni mtendaji zaidi, action oriented man mwenye maneno mafupi na vitendo virefu. Kwa mwanasiasa yoyote, katiba ndio the most important thing, lakini kwa Magufuli katiba sio muhimu kihivyo na ndio maana anaikanyaga and life goes on.

Niliisha zungungumzia sana katiba

Bora Katiba tuikubali, tusiichukie CCM kwa sababu CCM itahukumiwa na Karma kwa Uovu wake

Rasimu ya Katiba: Not Over Until It's Over!, Hizi ndizo kanuni za Bunge zitakazoikubali au kuikataa

https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=/amp/s/www.jamiiforums.com/threads/mchakato-huu-wa-katiba-ni-umasikini-wetu-tujikubali-tuukubali-tuupigie-kura-ya-ndio.626078/%3Famp%3D1395483526&ved=0ahUKEwi9lqz756rTAhUPM8AKHfe_AdYQFggYMAA&usg=AFQjCNFdeV7Z0K6AZkAgCaTfKqqVTFLADA&sig2=H7bSuYCudkXmjPsZBOwP5Q

Paskali
 
Mtazamo mzuri.
Binafsi naiona hii inayotumika Sasa bado inamapungufu kuliko Ile ya warioba iliyopendekezwa na hii unayoiita ya CCM.
Kwa maoni yangu mchakato ufungwe kwa kuipitisha hii iliyotayari tufaidi manufaa yaliyomo wakati mwingine miaka ijayo ikionekana Kuna mahala hii inayumba mpango B ni mawazo yako.
 
Mkuuhttps://www.jamiiforums.com/members/mitale-na-midimu.321780/
kwanza naunga mkono hoja, ya kukamilishwa kwa ule mchakato wa katiba, ila natofautiana na wewe katika justification yako ambayo wewe umejielekeza kwenye monetary value kuwa kwa vile mchakato umegharimu kiasi kikubwa cha pesa, tuukamilishe ili kujustify the money spent.

Kwa vile mchakato haujasimamishwa wala haujafutwa na uko kwenye ilani ya CCM, na CCM haikuweka time frame, then money spent kwenye hatua za awali, they are well spent regardless tutapata katiba mpya lini iwe ni 2025 or 2035 bado it's OK.

Na kama sababu za Magufuli kutoendelea na mchakato, alisema ni kuepuka gharama za kura ya maoni, then hoja yako hii gharama inhekuwa hoja ya msingi.

Lakini rais Magufuli amesema katiba sio kipaumbele chake. Vipaumbele vyake vikikamilika, then ataifikia katiba.

Umuhimu wa kukamilishwa kwa mchakato wa katiba mpya ni dhima ya katiba mpya na sio gharama zilizotumika.

It's very very unfortunately, rais Magufuli sio mwanasiasa, huyu ni mtendaji zaidi, action oriented man mwenye maneno mafupi na vitendo virefu. Kwa mwanasiasa yoyote, katiba ndio the most important thing, lakini kwa Magufuli katiba sio muhimu kihivyo na ndio maana anaikanyaga and life goes on.

Niliisha zungungumzia sana katiba

Bora Katiba tuikubali, tusiichukie CCM kwa sababu CCM itahukumiwa na Karma kwa Uovu wake

Rasimu ya Katiba: Not Over Until It's Over!, Hizi ndizo kanuni za Bunge zitakazoikubali au kuikataa

https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=/amp/s/www.jamiiforums.com/threads/mchakato-huu-wa-katiba-ni-umasikini-wetu-tujikubali-tuukubali-tuupigie-kura-ya-ndio.626078/%3Famp%3D1395483526&ved=0ahUKEwi9lqz756rTAhUPM8AKHfe_AdYQFggYMAA&usg=AFQjCNFdeV7Z0K6AZkAgCaTfKqqVTFLADA&sig2=H7bSuYCudkXmjPsZBOwP5Q

Paskali
Nakupata mkuu Pascali,
Lengo la Kuandika ilikuwa pia kutafakari gharama tunazoingia kuanzisha kitu kizuri ili kichukue nafasi ya kitu tulichokubaliana kinamatatizo.
Sikupenda kugusia kilichomo ndani ya katiba inayosubiriwa kupigiwa kura maana iko wazi kwamba,
1:katiba iliyopo inamapungufu kuliko hii tunayotakiwa kuipigia kura
2:katiba iliyopo inamapungufu kuliko rasimu pendekezwa ya Jaji warioba
3: Zote katiba tunayotarajia kuipigia kura na Ile rasimu ya warioba zinaonekana kuwa na mapungufu na kila moja imejivutia mashabiki upande wake
4: Pamoja na Mapungufu yote Zote ya kupigiwa kura na rasimu ya warioba zote mbili ni bora zaidi ya iliyopo Sasa, na kama ndivyo na ya kupigiwa kura ipo tayari moja kwa moja ni kitu chenye angalau na chafaa.
Mimi nachukulia mchakato wa katiba mpya kama mradi wa Kitaifa. Na mradi wowote duniani lazima uwe na ukomo wa Muda na Muda huo kubainishwa, Gharama na gharama hizo hadi kufungwa mradi lazima zibainishwe, Tatu scope au wigo wa huo mradi huku ubora ukibaki kama kiunganishi cha vitatu hivyo.
Nimeamua kujielekeza kwenye pesa kwa sababu kadhaa,
1: Time value of Money. Gharama ya kukamilisha huo mchakato leo ni ndogo kuliko Mwakani au siku vipaumbele vya Mh Rais vitakapotimia au miaka uliyopendekeza.
2:Faida zilizohubiriwa na walioiandaa hiyo katiba zinaweza kuwa kichocheo kikubwa cha kukamilika mapema vipaumbele vya serikali hii
3:Ikitokea maana kwenye uchaguzi lolote linawezekana 2020 au 2025 Akapita kiongozi mwingine asiyekubaliana na katiba inayosubiri kupigiwa kura na kuanza upya, mkuu huoni kama pesa za kuiandaa hii zitakuwa zimepotea bure? na kama tukiipigia kura hii leo kama taifa tutaanza kunufaika na mambo mazuri yaliyomo kwa Mujibu wa walioiandaa, Miaka ijayo wakija wengine wakaanza mchakato upya mfano tayari tutakuwa angalau tumepata manufaa ya pesa zetu kwa kiasi flani.
 
mimi nakubaliana na wewe tangu mwanzo kuwa mchakato wa katiba lazima uendelee, ila tunatofautiana na wewe kwenye reasons za kuendelea kwa mchakato huo. Wewe umeangalia kwa jicho la kiuchumi, mimi nimeangalia kwa jicho la relevance ya hiyo katiba. Hii ni kufuatia umuhimu wa katiba mpya kwa nchi yetu, money is not a reason at all. Umuhimu wa hiyo katiba ni it's essence, dhima ya katiba hiyo na sio how much we have spent.

Pamoja na kutumia hizo fedha lakini lengo lilikuwa ni kupata katiba bora, lakini kutokana na umasikini wetu, umasikini wetu ndio umetupatia https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=/amp/s/www.jamiiforums.com/threads/mchakato-huu-wa-katiba-ni-umasikini-wetu-tujikubali-tuukubali-tuupigie-kura-ya-ndio.626078/%3Famp%3D1395483526&ved=0ahUKEwjp0JiLw6vTAhWBIsAKHW-vCQkQFggXMAA&usg=AFQjCNFdeV7Z0K6AZkAgCaTfKqqVTFLADA&sig2=okmbUFWozvrH6UN_B6yp9w

Democracy is very expensive item, ndio maana sisi ambao ni waumini wa free and fair democratic elections tumemshauri rais kama lengo ni cost cutting kwenye kubana matumizi tumemshauri afute ruzuku ya vyama vya siasahttps://www.jamiiforums.com/threads/ruzuku-kwa-vyama-vya-siasa-mnaonaje-tumshauri-rais-magufuli-aifutilie-mbali-ruzuku-hii-ni-ufisadi.1129220/page-3

Na kwa vile rais Magufuli anakubalika sana, tumeshauri tufute uchaguzi wa 2020 kwa ueye kupita bila kupingwa just to save the moneyhttps://www.jamiiforums.com/threads/kwa-kasi-hii-ya-magufuli-kuna-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/page-4

Paskali
 
Wakati kila mmoja analalamika kuwa rais hasikilizi ushauri mie nakupeni nondo kidogo ujue kuwa mheshimiwa raisi anasikiliza na kusoma dondoo mbalimbali ilimradi tuondokane na umaskini.

[*]Ila baba hakika tunapigika ipasavyo tunaomba utulegezee angalau vihela vionekane mheshimiwa.
 
Na yeye nani asitoe VYETI vyake..wakati watumishi wa umma kama yeye wamekaguliwa na wengine kufukuzwa KAZI? atoe VYETI DAUDI BASHITE.
Yeye sio katika kundi la watumishi wa umma bali kundi la wateule wa rais.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom